Ile unaingia tu chumbani alipolala mwanao

Ile unaingia tu chumbani alipolala mwanao

Nahisi hata mtu mzima akiwa amelala bila kujua nyoka yupo jirani nyoka hawezi kumng'ata isipokuwa atakaposhtuka ndo taharuki na hapo kung'atwa ni lazima.
 
Mkuu sidhani kama ni nyoka wote., vipi kuhusu yule nyoka kichaa Black mamba?? niliona video moja anapita akakuta simba kafa lakini akagonga kama mara mbili hivi then akatembea. Sasa kama yule akimkuta mtoto na ametoka kula majani yake ya bangi si anafanya yake then anasepa??
Inaweza kuwa kuna kiumbe kilimkorofisha alipo toka huko
 
Mkuu sidhani kama ni nyoka wote., vipi kuhusu yule nyoka kichaa Black mamba?? niliona video moja anapita akakuta simba kafa lakini akagonga kama mara mbili hivi then akatembea. Sasa kama yule akimkuta mtoto na ametoka kula majani yake ya bangi si anafanya yake then anasepa??
Angemkuta mtoto wa simba asingemfanya kitu...halafu kumbuka wanyama wana visasi vibaya na hawasahau mfanyie noma leo lakini baada ya miaka kadhaa akikutana hata na maiti yako lazima ailetee figisu
 
e43b8c7754482666a353da7ffa81d1ae.jpg
Huhitaji kupanic,we toka tu nje au fuatilia alikoelekea huyo nyoka na kumuua.
Kumng'ata mtoto,hilo jambo halipo na ndio maana wanaitwa MALAIKA!
 
Kwenye picha tuu hivi nimeogopa sasa sijui hata ningefanyeje maana mmh!
 
mkuu mshana kwanini nyoka hadhuru watoto wadogo,,.ni muda mrefu naisikia hiii nadharia lakini sijawahi pata maelezo toshelezi
Mtoto hana taharuki....taharuki huleta negative energy kwenye chochote na wanyama hufeel hiyo hali
 
mshana jr mtoto wa umri huu utamlazaje mwenyewe chumba chake kama si kumkaribisha 'jini' ama ndugu ibilisi mwenyewe ndani ya nyumba?
Kuna mazingira hayaepukiki mama ana kazi nyinginezo mtoto kalala sehemu salama ya kumlaza ni chumbani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom