Ile ndoa imesambaratika!

Hivi kwanini umeniita Malaya mkuu?
 
Hahahaha, Kijo Bisimba tulia tulia.
Sema Uzinzi sio kitu cha kujisifia na wala sio sifa ya mwanaume. Basi tu huwa tunateleza, lakini hatutakiwi kujisifia.
Afadhali wewe siyo wale wengine wanaosema, "mwanaume rijali hawezi kuwa na mwanamke mmoja" yaani wanajihalalisha kwa sifa za kipumbavu mwisho wa siku wanaacha watoto bila wazazi kwa magonjwa ya kuleteana.
 
@Koriee na @linguistic!
Mmeanzisha uzi mwingine ndani ya uzi huu. Hoja ni Ukahaba na si kingine. Tatizo ni kuwa mnaleta HARAKATI ktk hoja isiyo.

Someni vyuzi zote 2 ili mjue ni kwanini ndoa umesambaratika. Mume alipojua hali alimuonya mke. Mke akaendeleza mawasiliano na bahati mbaya kwake, mume alidukua na niliweka ushahidi. Sasa mnatetea kuwa kossa ni la Mwanamume tu.

Kuna shida mahali ktk ujengaji wa hoja zenu kutokana na mahaba ktk FENIMISM.

BazaI
 
Naona hadi umechapia jina lako hapo chini mkuu
 
Hapana ndugu majibu yangu nilikuwa na mjibu lizarazu alivyokuwa anasema na kuuliza,kama ni mada kaibadili lizarazu.
Na pia wengi tu wameongelea hili suala kimaisha yetu ya kila siku zaidi.
 
Hata usiangaike now sana mkuu.

Tembelea ile kauli tu "birds of the same feathers*

Huyo mama Korie na mwenzake wanatetea ukahaba tangu mwanzo kwenye huu uzi, halafu ukipingana nao wanaanza kulia lia na kuleta objections za mfumo dume.
 
Bazazi kwaiyo uko single Sasa?
 
@tozi25

Mbona taarifa za wazi hizo? Kwa mtu makini, ni rahisi kuzipata. Mkuu Jina, namba za simu na pichaze zipo. Ila kwa kuwa ndoa imesambaratika, sioni umuhimu wa kuzianika.

Bazazi
Kwani huyo mama aligegedwa?
 
Umalaya ulikuwepo kwa jinsia zote mbili tangu enzi za biblia hivyo hakuna jinsia inayoiiga jinsia nyingine, ujumbe hapa ni kwamba wanaume waache kujihalalishia umalaya maana hakuna jinsia inayotakiwa kufanya umalaya kwa sababu yoyote ile.
Basi hongereni sana kwa kushindana na waume zenu kufanya umalaya.

Hope this meme puts simile on that Adulterous face of yours.
 
Kwani huyo mama aligegedwa?
Ushahidi wa moja kwa moja hakuna. Ila wamekutana sana Dar na Arusha. Kilichosambaratisha ndoa ni Mke kuendeleza mawasiliano na Mhadhiri wakati mwingine mbele ya Mume. Mume alipofanikiwa kudukua, ndo akaona isiweshida, kila mtu aafiki mastakim yale. Ila baba mkwe alishirikishwa

Bazazi
 
Kazi ipo!!
 
Huyo mume fwala tu hajitambui.unadukua simu ya mtu kwanini? Mwanamke anatongozwa kila siku.
 
Mali hazijagawanywa kwani hakuna talaka. Lakini mwanamke ameondoka na mali alizonunuwa kama gari dogo, nyumba ya pili ambayo n ndogo, nguo binafsi na baadhi ya vyombo vya ndani

Bazazi
ameondoka na papuchi au ameiacha ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…