Ile ndoa imesambaratika!

Ile ndoa imesambaratika!

Kwahiyo unaenda kumdhihaki Mungu kwa kuapa kuwa muaminifu halafu unachepuka Kama upo kwenye mashindano 😂 😂 😂 hongera Ila muonee huruma watoto wenu pia kwa kuwasababishia malezi ya single mother au ya mama wa kambo... Mabadiliko yanaanza na wewe kaka.
Sasa mwanamke ambaye kukitikea shida ndani ya nyumba,anaona ananyanyasika nakuona a-opt kuwa single mother,mimi nimzuie wanini?Awe single mother wadau wamfakamie kwa uhuru bila hofu yakuwaza kua watakuja kufumaniwa.Mfano huyo aliyetoka kwa mhadhiri,awe tayari kuchakatwa na watu mbalimbali tena kwa uhuru,kikubwa namuomba asije akaleta picha mbaya kwa watoto kwani yawezekana wakawa wanashuhudia wanaume wa kila aina wakilala na mama yao,hivyo kuathirika kisaikolojia.
 
Tumpe muda tu huyo mwanamke lazima atarud mikono nyuma.
kuna wanawake wachache wenye akili za kushikiwa tena wanakosa busara kwa wanaume wakishajiona wana elimu/ wamesoma hii inapelekea kujiona anaweza kufanya kila jambo pasipo kushirikiana na mwanaume.. Kwa lugha nyingine hao wanawake hujiona wanaume.
 
Sasa mwanamke ambaye kukitikea shida ndani ya nyumba,anaona ananyanyasika nakuona a-opt kuwa single mother,mimi nimzuie wanini?Awe single mother wadau wamfakamie kwa uhuru bila hofu yakuwaza kua watakuja kufumaniwa.Mfano huyo aliyetoka kwa mhadhiri,awe tayari kuchakatwa na watu mbalimbali tena kwa uhuru,kikubwa namuomba asije akaleta picha mbaya kwa watoto kwani yawezekana wakawa wanashuhudia wanaume wa kila aina wakilala na mama yao,hivyo kuathirika kisaikolojia.
Out of point.

Watoto wa single mother Nlimaanisha watoto wa michepuko..hiyo itakayofakamiwa 😂 😂 😂

Picha Nzuri ni baba kubadilisha wanawake.
 
Bazaaaaaziiiiiiii umepatwa na uchungu sana na jamaa why?? Mbona alishamkatalia mamushka tena alikuwa anatetea ndoa yenu sana huyu.
Mambo ya ndoa magumu bro! Sijui jamaa uamuzi.wake utadumu hadi lini!

Bazazi
 
Halafu wanawaza kizamani eti kampiga chini.. Unampiga chini mtu mwenye hela yake? Ndoa kitugani buana Kama hakuna amani?? Full umalaya mwanaume anajiona hawezi kutii Kiapo cha ndoa, basi bora afanye kwa adabu,... Anafanya waziwazi..

Nasema hiviiii wanaume mjitathmini, enzi ya mwanamke kuitwa malaya imeisha... Endeleeni kuonea wanawake masikini au wale wasiojielewa.

Tuna mioyo ya nyongo pia Kama mkiamua kuwa wanandoa chepukeni kwa nidhamu tafadhali... Maana mkigeuziwa kibao hamchelewi kupata stroke

Maneno ya mwanamke mwenye umri mdogo haya. Hakuna mwanamke mwenye umri wa kuanzia 40 na kuendelea (na ambae hana regular man) anaefurahia maisha labda awe frigid. Unadhani ni kwa nini kuna sugar mamas?
 
Labda tu nianze kwa sauti ndogo nikwamba hapa ngoja niongeze sauti huko nyuma wasikie n kwamba siiiiiiiiiooooiiii mpk nikikarbia zeeka natafuta wa kuzeeshana nae bas vipi huko sauti inatosha
 
Halafu wanawaza kizamani eti kampiga chini.. Unampiga chini mtu mwenye hela yake? Ndoa kitugani buana Kama hakuna amani?? Full umalaya mwanaume anajiona hawezi kutii Kiapo cha ndoa, basi bora afanye kwa adabu,... Anafanya waziwazi..

Nasema hiviiii wanaume mjitathmini, enzi ya mwanamke kuitwa malaya imeisha... Endeleeni kuonea wanawake masikini au wale wasiojielewa.

Tuna mioyo ya nyongo pia Kama mkiamua kuwa wanandoa chepukeni kwa nidhamu tafadhali... Maana mkigeuziwa kibao hamchelewi kupata stroke

Nikisoma kati ya mistani (Between the Lines) ulichoandika napata tashwishwi ya kutaka kujua hali ya ndoa yako (maelewano nyumbani : if at all you are married). Katika maandishi yako nasoma hasira, kinyongo, uchungu moyoni, tamaa ya kulipa kisasi, kukataliwa n.k

Pole sana

Ahsante
 
Back
Top Bottom