Hilo gazeti lilikuwa linakuja home basi inabidi ukae chonjo ...mana kuna watu wanatoa huo ukurasa tu..Nini Covid-19, Mzee Meko alikuwa Bush Stars.
Ukimaliza kusoma naomba niazimeView attachment 1420780
Lord Lofa: Nijichane na mamisosi ili nivimbe ki roho mbaya uwanjani na watemi wao wa Bush lazima waipate.
Ndumilakuwili: Alafu wabebe mzigo wa magoli.
Lord Lofa: Usikete ujinga na mzigo wa kushangilia nani ataubeba?
Ungetaja majina ya vikosi vyao ingependeza zaidi. Nilikuwa napenda kuwafuatilia sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bob Mazishi alikuwa mzee wa kata funuaView attachment 1420780
Lord Lofa: Nijichane na mamisosi ili nivimbe ki roho mbaya uwanjani na watemi wao wa Bush lazima waipate.
Ndumilakuwili: Alafu wabebe mzigo wa magoli.
Lord Lofa: Usikete ujinga na mzigo wa kushangilia nani ataubeba?
Nasikia Kobelo alifarikiView attachment 1420819
Kipepe
2. Kapelo
3. Mgosi Agosingw
4. Kobelo
5. Masharubu
6. Mzee Meko
7. Nchumali
8. .........
9. Madenge
10. .....
11. Ndondocha
Huyo namba kumi ndiyo Bob Mazishi Mkuu.Bob Mazishi alikuwa mzee wa kata funua
View attachment 1420819
Kipepe
2. Kapelo
3. Mgosi Agosingw
4. Kobelo
5. Masharubu
6. Mzee Meko
7. Nchumali
8. .........
9. Madenge
10. .....
11. Ndondocha
Bob mazishi alikuwa wa bon town ulikuwa huMkosi kwenye ile club maarufu iliyovunjwa na awamu ya tano