Ile Football Match ya Bush Stars na Born Towns

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,266
1587036641048.png


Lord Lofa: Nijichane na mamisosi ili nivimbe ki roho mbaya uwanjani na watemi wao wa Bush lazima waipate.

Ndumilakuwili: Alafu wabebe mzigo wa magoli.

Lord Lofa: Usikete ujinga na mzigo wa kushangilia nani ataubeba?
 
Team ya bush iliwakilishwa vema kabisa na kipepe, aliwasumbua sana maana ni mtaalam wa kukimbia mawindo yenye hatari
 
Back
Top Bottom