na watanzania tulivyo wavivu kusoma sijui...ili kusaidia kuisambazaunaweza kui-attach na kuwatumia watu wote unao wafahamu nafikiri itasaidia wewe ukituma kwa watu 50 nao wakatuma angalau kwa watu 10 itasaidia...Ni Ilani Nzuri sana... Tatizo ni namna ya kuisambaza na kuhakikisha ujumbe uliomo unawafikia walengwa wapiga Kura wote kabla ya 30/10/2010.
Hili nalo neno...:mad2: MUHIMU!!! NIKIWA MWANANCHI MPENDA MAENDELEO, NAJUA UMUHIMU WA UPINZANI. NASHAURI CHADEMA WAIWEKE RASIMU HII KATIKA PDF PROTECTED MODE ILI MTU AKIIFUNGUA ASIWEZE KUIBADILI. KUNA HATARI MAFISADI WA CCM WAKAIFUNGUA NA KUONGEZA VIPENGELE VYAO NA KUI UPLOAD UPYA KISHA CHADEMA WAKAONEKANA HAWAFAI KABISA. HUO NI USHAURI WA BURE. NAWAPONGEZA SANA CHADEMA
Mwanakijiji was right, INATISHA!!!
Daaaaym! Haki ya nani tena naanza kutamani CHADEMA !!!:A S 8: