Na kile kiwanda kikubwa kuliko vyote Duniani cha kutengeneza mikokoteni ya kuvutwa na ng'ombe kilichozinduliwa na waziri wa uwekezaji bwana Kitila, nacho kitahamia hapo? Chenyewe kimetoa ajira elfu ngapi?Waziri wa viwanda na biashara Prof Kitila ambaye ndiye mbunge wa ubungi amesema kituo kikubwa cha biashara kinajengwa ilipokuwa stendi kuu ya mabasi ya mkoani ubungo
Kitila amesema mwekezaji ameshasaini mkataba na wananchi watapewa kipaumbele kupangishwa maeneo ya biashara kulinganisha na wageni.
Pia kituo hicho kitatoa maelfu ya ajira kwa watanzania, amesema.
Source: ITV habari!