Kama nimeshatoa lock namwambia unikome kwa herufi kubwa!😂Kinakuacha unajichetua, unajikomba na kujimaliza kwa kila namna halafu mwishowe kinakuambia eti "mi nakuchukulia kama kaka yangu"
View attachment 3572920
Akiingia kwenye 19 zako unampelekea moto tuu
Nasemajee utapona tyuuh!! [emoji23][emoji23][emoji23]Mjukuu tangu lini umekuwa reincarnation ya Sheikh Yahaya[emoji3]View attachment 3572933
Tobaaaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23]Akiingia kwenye 19 zako unampelekea moto tuu[emoji23][emoji1544][emoji1550]
Bigii.View attachment 3572880Mkuu Kichogo wadogo zangu nawajua wote sasa hawa wengine si kuwekeana mipaka bila sababu
Hatuna hata vinasaba.. Wanataka kuninyima nini kwamfano
Ni kwamba dada zangu nawajua wooote upande wa baba na upande wa mama.Nikaambiwa ujue tunakuchukulia kama kaka yetu!
Kwahiyo.. Yaani mimi NI KAMA KAKA YAO..! Lakini mimi sio kaka yao maana hatuna hata vinasaba vya DNA😀