Ila wanawake ni shida sana

200K kubadili mood ya maza ni mfano dhaifu sana kuutumia kudhibitisha eti wanawake tunapenda hela sbb
1)Mwanaume gani hatafurahi kupokea 200k toka kwa mwanae awe mlevi au sio mlevi?
2)Mood ya maza imekua nzuri sbb 200k ulutuma inaonesha sindano imekuingia hadi ukaamua uombe msamaha kwa 200k.Mzazi gani asingefurahi?
3)Maza kafurahi kuona pombe bado hazijakufanya wa hovyo coz kuna walevi wananywea hela yote hadi ya kula wanakosa.Hii imempa maza matumaini na Im sure atazidisha dozi hadi uache mipombe yako.
Naombea akimaliza kula huyo kuku akupigie tena aendelee alipoishia😅😁🤸🤸
 
Test ya mwanamke kwenye pesa ndio inayodetermine aina ya maono yaliyo ndani ya mwanaume anaetaka awe msaidizi wake.

So, technically mwanamke hapendi pesa ila kwakua pesa ni matokeo ya uadilifu na ufahamu wa mtu (kujitambua wewe ni nani na kwanini upo kwenye hii dunia) so wanajikuta wanaangulia kwenye hilo eneo.

Hiyo ni default setting ya wanawake wote duniani na Kila mmoja ako na test tofauti ya pesa na hizo test ndio zinadetermine aina ya mwanaume anaefaa kuwa nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…