Chibike
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 4,896
- 7,522
Embu muangalie waungwana...Kuna vitu vingine hata MABEBERU watakua wanatucheka na kutudharau sana na kutuita we are so poor..
Kuna vitu jamani mbona vinafanyika tukiamua? Haya basi mnakula mapesa ila tukumbukeni na wananchi , tunakosa hata maji ya kutawaza, wakati mwingine mtu unabana mavi mda mrefu ili usitumie maji kwa wingi...mateso Gani haya wajameni?
Mimi mkinipa hio bilioni 48 , hakuna nyumba dar nzima itakosa maji safi na salama.