maishapopote

JF-Expert Member
May 28, 2009
3,318
5,678
Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake.

Wanawake kuweni sana makini this time watu wamevurugwa sana!

UPDATES:
Mtuhumiwa baada ya kumuua alienda polisi mdogomdogo maana ni kama dakika mbili kwa kutembea. Pia muda ni saa kumi na mbili asubuhi badala ya saa tisa. cc nifah

==========

JamiiForums ilipowasiliana na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Mtatiro Kitinkwi amesema: “Ni tukio la kweli na limeshatufikia, mwenye mamlaka ya kutoa taarifa zaidi ni RPC Jumanne Muliro, wasiliana naye atakupa taarifa na tayari ameshalizungumzia.”

IMG-20240523-WA0026.jpg

Pia soma: Polisi wamtaka aliyekuwa mpenzi wa Penina wa Goma Center
 
Kwa mnamjua penina ana grocery hapo goba center pembeni ya baa ya trinnidad...kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake...
Nitaleta update zaidi..!
Wanawake kuweni sana makini this time watu wamevurugwa sana!
Mwanaume kua na mahusiano na kumkabizi moyo mwanamke anaeuza grocery,bar na mama ntilie ni kujivika bomu mda wowote linaripuka
 
Kwa mnamjua penina ana grocery hapo goba center pembeni ya baa ya trinnidad...kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake...
Nitaleta update zaidi..!
Wanawake kuweni sana makini this time watu wamevurugwa sana!
Masela tuwe makini na hawa wanawake, tutaozea jela kmmk, narudia tutaozea jela. Hawa viumbe this round ni kama hawana cha kupoteza hapa duniani.
 
Back
Top Bottom