Ila maisha

Wewe unashangaa hilo? Kuna watu hesabu zao zinasoma -50,000,000

Yaani anadaiwa million 50.

Kupata na kukosa siyo mwanzo au mwisho wa maisha, ni matukio tu.
 
Mimi kwa miguu yangu nilienda kwa mama muuza maandazi, nikanunua matatu, nikala moja asubuh moja mchana moja usiku, mwendo wa maji tu, nilifanya hivyo wiki nzima, maisha muda mwingine yanatufundisha kwa namna ya pekee kabisa kiasi kwamba mtu akisema kuna hili huwezi kuamini mpaka uwe umepitia hiyo situation
 
Tajiri usiseme utawaliza wengi
 

surely
 
In life,unatakiwa kuwa na rafiki Mmoja anayeweza kubeba shida zako,,huyo rafiki anaweza kuwa mmeshare blood labda sister au cousin lakini pia inawezekana akawa rafiki tu wa kawaida...

mimi ni miongoni mwa wale mtu akinililia shida natoa nipate shida mimi sasa nikawalilie walionililia mweeee ni huzuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…