Ila madem wa Bongo si muweke mgomo msiwape Uroda hawa Machawa labda itasaidia

Huku tukiendelea kukomboa nchi dada wa Bongo mngeunga juhudi zetu muwanyime hawa jamaa Chawa wa mama uroda itasaidia kuspeed up mabadiliko.

Au mnasemaje wakuu?
Kwani NI lazima Watu wote wawe na mtazamo mmoja? Mbona kama kuna kulazimishana lazima Kila Mtu afate msismamo msismamo WA kundi flani,Maana kama Hao NI machawa naww itakuwa nichawa kwa unachokitetea,
Ni sawa Tu na machawa flani kwawasanii flani,
 
Huku tukiendelea kukomboa nchi dada wa Bongo mngeunga juhudi zetu muwanyime hawa jamaa Chawa wa mama uroda itasaidia kuspeed up mabadiliko.

Au mnasemaje wakuu?
Hao machawa wagawa jicho kwa madoni kwaiyo wanapesa nyingi sana za kuhonga
 
Huku tukiendelea kukomboa nchi dada wa Bongo mngeunga juhudi zetu muwanyime hawa jamaa Chawa wa mama uroda itasaidia kuspeed up mabadiliko.

Au mnasemaje wakuu?
Unataka wafe njaa au wewe utawapa mbadala wa kusavaivu mjini
 
Back
Top Bottom