Ila kupendwa raha nyiee

Ila kupendwa raha nyiee

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
13,709
Reaction score
25,490
Huyu manzi wa mtaani hapa namfanyia kila visa ili aniache,ndo kwanza yeye anazidisha mahaba kwangu.

Screenshot_20250530_015744_Facebook.jpeg
 
Me naona kuna utoto mwingi hapo.

Unajua kupata mtu anaekupenda kabisa duniani na sio mzazi au ndugu yako ni kazi sana.
Sasa mtu anakupenda na wewe humtaki, ebu kuwa mwema kwake angalau kwa kumuheshimu na kuthamini upendo wake. Sio kumchoresha na kuutumia upendo wake kama fimbo ya kumchapia.

"To every action there is an equal and opposite reaction."
 
Back
Top Bottom