Ila kuna watu wana machozi ya karibu

Ila kuna watu wana machozi ya karibu

Ela huwa wanagawana na Waganga hawa 😂
Amani ya moyo hawana hawa
Hee 😳
Yaani ningekuwa mimi mshahara miaka 5 na pensheni juu
Ningetoka hapo namshukuru tu Mungu na kwenda kufanya mambo yangu mengine.
 
Aisee ...

1752257248763.png
 
Back
Top Bottom