Mia 6Kulamba Mia tatu Kwa Kikao sio Mchezo.
Alipokuwa CDM alilia kwenda CCM, sasa yupo CCM analia rafu, aongezewe fimbo tano za nguvu za matakoni!Hahahaha... Kisa?
Silinde vepe naye
OvaHahahaha
Watu waliumia kulinda kura zako kule Ukonga, Mwita uliuza ubunge na kukimbilia CCM. Sasa ujue CCM ina wenyewe.
Kwani lazima uwe Mbunge, fanyeni kazi nyingine!KUMBUKIZI: Huuu moshiii mweusi au mweupe jamani maana ukiona mtu mzima anaria ujue kuna jambo jamani ubunge laah,kibaka wa Siasa hii ndiyo CCM/.... SASA NI No Reform no Election hivi bungeni kuna nini jamani🤣🤣🤣
View attachment 3402016