Ila kuachwa

Ila kuachwa

IMG_5480.jpeg
 
Nimeona... Lbd wamerudiana ndiomaana akaedit
Mkuu,kufuta uzi maana yake ni kutambua kua ulifanya makosa au hukupaswa kuuleta uzi husika,nafikiri amelitambua hilo baada ya kusoma comments kwenye uzi husika,

Kurudiana kusingemfanya kufuta uzi bali angetufahamisha kwa furaha kua wamerudiana.

Hayo ni mawazo yangu tu.
 
Aliharibu Uzi mwenyewe pale alipotoa sababu ya kuachika kwamba Ali cheat. Akina Mbaga Jr wakamshukia jumla jumla
 
Umecheat kwa sababu gani??
Sheria ni moja mwanamke msaliti hapaswi kusamehewa kamwe ewaah mwanakulipata mwanakulitafuta 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom