Labda kumtibu rais kienyeji akipata 'magonjwa ya kienyeji'!Ikulu ya jamhuri ya muungano wa tanzania ina ofisi ya mganga wa kienyeji inayoongozwa na Mzee Kingunge anayejiita mlezi wa waganga wa jadi. Je kazi za ofisi hii pale ikulu ni zipi?
Kuganga.
kuna uganga wa aina mbili, ule wa tiba mbadala na huu wa nguvu za kiza - mzee wetu anawakilisha kundi lipi? na je ofisi liyopo pale ikulu ni ipi?
Ikulu ya jamhuri ya muungano wa tanzania ina ofisi ya mganga wa kienyeji inayoongozwa na Mzee Kingunge anayejiita mlezi wa waganga wa jadi. Je kazi za ofisi hii pale ikulu ni zipi?
Yeye anahoji ofisi ya kiganga kuwako pale maana hiyo siyo moja kazi za ikulu kwa wananchimleta mada kama sio mchokonozi, mmbea, mwenyewe ushasema mganga sasa unataka jamvi likwambie kazi ya mganga! kabla hatujaendelea ebu weka cv yako kwa msaada zaidi.
Si rahisi kwa taifa kupiga hatua kimaendeleo kama bado tumefungwa na nguvu za giza
Ndo maana majanga hayaishi
kusafisha nyota?Labda kumtibu rais kienyeji akipata 'magonjwa ya kienyeji'!
kusafisha nyota?
Ikulu ya jamhuri ya muungano wa tanzania ina ofisi ya mganga wa kienyeji inayoongozwa na Mzee Kingunge anayejiita mlezi wa waganga wa jadi. Je kazi za ofisi hii pale ikulu ni zipi?