Ikulu ya JMT ina ofisi ya Mganga wa kienyeji

Kikuyumbo

JF-Expert Member
Feb 3, 2014
391
93
Ikulu ya jamhuri ya muungano wa tanzania ina ofisi ya mganga wa kienyeji inayoongozwa na Mzee Kingunge anayejiita mlezi wa waganga wa jadi. Je kazi za ofisi hii pale ikulu ni zipi?
 
Kama kila siku wanashinda na kukesha pale, ni kwanini wasipewe ofisi kabisa?
 
Ikulu ya jamhuri ya muungano wa tanzania ina ofisi ya mganga wa kienyeji inayoongozwa na Mzee Kingunge anayejiita mlezi wa waganga wa jadi. Je kazi za ofisi hii pale ikulu ni zipi?
Labda kumtibu rais kienyeji akipata 'magonjwa ya kienyeji'!
 
  • Thanks
Reactions: y-n
kuna uganga wa aina mbili, ule wa tiba mbadala na huu wa nguvu za kiza - mzee wetu anawakilisha kundi lipi? na je ofisi liyopo pale ikulu ni ipi?
 
halafu wakina Kakobe wanahangaika kuwaandikia wachawi barua?sikubaliani nao hata kidogo
 
mleta mada kama sio mchokonozi, mmbea, mwenyewe ushasema mganga sasa unataka jamvi likwambie kazi ya mganga! kabla hatujaendelea ebu weka cv yako kwa msaada zaidi.
 
kuna uganga wa aina mbili, ule wa tiba mbadala na huu wa nguvu za kiza - mzee wetu anawakilisha kundi lipi? na je ofisi liyopo pale ikulu ni ipi?

Ofisi anayotumia Kingunge unategemea itakuwa ya tiba mbadala, thubutu....uchawi tu hapo!
 
Ikulu ya jamhuri ya muungano wa tanzania ina ofisi ya mganga wa kienyeji inayoongozwa na Mzee Kingunge anayejiita mlezi wa waganga wa jadi. Je kazi za ofisi hii pale ikulu ni zipi?

Si rahisi kwa taifa kupiga hatua kimaendeleo kama bado tumefungwa na nguvu za giza
Ndo maana majanga hayaishi
 
Ni lazima kwa sasa iwepo maana mnajimu wao na msalama wao Shekhe Yahya alishatangulia mbele ya haki!!! Aende anapostahili maana alitumia ile taaluma kurubuni hata viongozi wa dunia huku akifanikisha kazi yake ya kijasusi. Pole sana Ludovick Mwijage!!!
 
mleta mada kama sio mchokonozi, mmbea, mwenyewe ushasema mganga sasa unataka jamvi likwambie kazi ya mganga! kabla hatujaendelea ebu weka cv yako kwa msaada zaidi.
Yeye anahoji ofisi ya kiganga kuwako pale maana hiyo siyo moja kazi za ikulu kwa wananchi
 
Attachments

  • 1400825923626.jpg
    1400825923626.jpg
    43.9 KB · Views: 121
  • Thanks
Reactions: SMU
Ikulu ya jamhuri ya muungano wa tanzania ina ofisi ya mganga wa kienyeji inayoongozwa na Mzee Kingunge anayejiita mlezi wa waganga wa jadi. Je kazi za ofisi hii pale ikulu ni zipi?

Jamani mbona mnakuwa wasahaulifu kiasi hicho? Mmesahau kuwa jamaa yetu huwa anapiga sarakasi kwenye majukwaa?!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom