hezron magwesela
Member
- Jun 19, 2015
- 23
- 3
Kama sio pango la wanyanganyi. Nipeni Maelezo lizone kapata WAP Mali hizo zote kwa mda huu mfupi. Mfumo mmeuweka wenyewe Leo hii mnajikataa.
Naona kama vile huna point!!!?. Sisi tunaongelea "Kubenea alishukia bango kuhusu wizi wa EL, sasa hivi anatakakugombea ubunge ndani ya CDM!!? na raisi wenu wa ukawa ndiye fisadi papa!!!?"Kama sio pango la wanyanganyi. Nipeni Maelezo lizone kapata WAP Mali hizo zote kwa mda huu mfupi. Mfumo mmeuweka wenyewe Leo hii mnajikataa.
Tunaanza kwanza na huyu aliyekuwa mtendaji mkuu maana uchunguzi umekamilika. Uchunguzi wa escrow nawenyewe bado unaendelea kama wewe ulihusika panga lazima likukate. Huu wa EL upo tayari atapigwa viboko 12 wakati anaingi jela ya miaka 11 na viboko 12 wakati anatoka.
Huu ni mda wa lunusuru chama. EL kaenda nje ya kabati lazima rungu lianzie kwake. yeye atawataja aliohusika nao kisha uchunguzi utafuata. Unaweza chukua miaka 20 kukamilika wakati yeye EL anakula mvua.
Usisahau na kile kivuko cha bagamoyo mwee hii nchi ina maajabu ya firauni.
Annael
Miaka yote hiyo mbona hamjamshitaki mahakamani?Povu jiiiiingi utadhani unaongea la maana.Mmeshaambiwa mwenye ushahidi aende mahakamani,wewe umekaa mbele ya computer unahororojoa badala ya kwenda kumshitaki mahakamani.
Annael
Miaka yote hiyo mbona hamjamshitaki mahakamani?Povu jiiiiingi utadhani unaongea la maana.Mmeshaambiwa mwenye ushahidi aende mahakamani,wewe umekaa mbele ya computer unahororojoa badala ya kwenda kumshitaki mahakamani.
Naona unatoka mapovu kama mtu aliyejaa uji kichwani badala ya ubongo. Kama haya yote mshapanga, iweje Tanzania kuw salaam mikononi mwenu?Tutakuwa na Voting baada ya hapo tutakuwa na vetting.
Nitajie wizi alioufanya akiwa kama waziri (sio kugeneralize tu eti ni fisadi)Kwa maana hiyo unatetea wizi wa huyo EL?
Kamwe huwezi ukasafisha haja kubwa ikawa safi hata ufanye nini. Kiwango cha kufika mpaka wakuu wa vyama kuhongwa na kuhongeka hii ni hatari sana.
Kuna mambo mengi ambayo tunashindwa kuyadadavua kwa umakini sana na kuyachukulia kiushabiki tu. Eti tukiwa na lengo lakung'oa chama fulani wakati hatujui hatima yetu itakuwa ni nini. Tunasema tumg'oe kwanza huyu halafu baadae tutaona cha kufanya. Ni ujinga uliopita mipaka na kuwafanya watanzania kama hamnazo.
Siasa za namna hii zinalifanya taifa letu lizidi kudidimia. Vyama vina maprofessa, na watu wenye elimu ya hali yajuu kabisa wanashindwa kuleta dira na kuanza kuwa na cheap politics. Kuwahadaa wananchi kwa lengo lao tu. Mtu alishachafuka tangu miaka ya 90 na nyie wenyewe mnalijua kabisa. Lengo lenu ni nini katika nchi hii? kamwe hamfai na hakika mtakaa kusubiri meli stand ya basi.
Sio kwamba hatuoni nyendo zenu, hakika tunaona. Mwizi na jambazi sugu akabidhiwe nchi je atawalipa nini wafadhili wake waliompa pesa na kuweza kuwahonga viongozi wa vyama vya siasa? Huyu lazima analengo baya sana na nchi yetu.
Watanzania tusimame kwa pamoja tuwakatae hawa wezi. Unajijua wewe ni mchafu na umechafuka kwani ni wewe tu unayeweza kuwa kiongozi wa nchi hii? Unalengo gani na Tanzania? Unajinadi wewe ni mtu wa mungu!! wewe wewe wewe jichunguze usiwadangaye wananchi. eti unasema wewe prezidaa mmetoka mbali, aibu sana. Hutakiwi kuwa kiongozi wa tanzania wewe kaa utulie upate penshen yako kwa faida yako na kizazi chako.
Tukutane na wewe 25 october 2015 utauona moto wetu. Isitoshe report ya uchunguzi ipo tayari
uchunguzi upo tayari na mda wowote tu la mgambo litalia.
Tangu lini lkulu ajaingia mwizi nchi hii wote wanaingia masikini wanatoka matajiri na mm nikipita magogon sioni frem ya biashara au genge la maembe