Ikulu si pango la majambazi na wezi

Ikulu si pango la majambazi na wezi

Na hivi amehama chama mtatafuta ushahidi wa uongo kwa kila namna ili mummalize kabsa..anzeni kwanza na hao walipo madarakan kwa kuwachunguza na kuwashtaki ndio mmalize na mzee wa maamuz magumu

R.I.P CCM

Mkuu jeuri hiyo hawana, lowassa sio wa kumchezea nina imani amejiandaa vya kutosha kukabiliana na mizengwe yoyote atakayofanyiwa.Huo uchunguzi wanaosema umekamilika ni baada ya lowassa kuhama ccm mbona mpaka leo uchunguzi wa stanbic ya escrow haujakamilika?
 
Ikumbukwe waziri mkuu ni mtendaji mkuu wa serikali. Kuifanya nchi ikaingia hasara kubwa na kuudanganya umma kuwa Richmond ni kampuni halali ni wizi uliopita kiasi. Leo hii unakana utendaji wako wa kazi na kutuletea cheap politics.
1. Je hukujua majukumu ya waziri mkuu?
2. Kwanini ulijiuzulu?
3. Wale rafiki zako wanaokufadhili ni akina nani?
4. Kwanini unataka uraisi kwa nguvu hivyo?
5. Kwani lazima wewe tu uwe raisi?

magufuli hautaki urais kwa nguvu!? basi aache kugombea
 
Je mahali ulipo hakuna vituo vya Polisi,Polisi Jamii, Mahakama au mawakili utusaidie kumshitaki huyo uliyekwisha mtambua? Maana unaonekana wewe unao ushahidi mujarabu na mkereketwa wa kweli na mpenzi wa nchi hii.
Utaratibu wa kufungua jarada unafanyiwa kazi. Tayari tuhuma ya uhujumu uchumi itamla huyu jamaa mpaka.
 
ikulu sio pango la wezi. Kaa ukijua hilo. Na mtu anaye taka kwenda ikulu kwa namna yoyote tumuepuke kama ukoma. Huyu ni mwizi na jambazi kamwe hawezi kuwa safi.

Na anayetoka Ikulu utamshtaki lini.Maana wizi wote unaanzia Ikulu sasa utueze huyo aliyeko sasa naye ni lini mtampeleka mahakamani?

Kupata kwake madaraka ni kwa pesa za huyo leo tunayemuita fisadi sasa totauti yao nini?Pole mwambie atueleze deal la escrow lilikuwa la nani?
 
Ikumbukwe waziri mkuu ni mtendaji mkuu wa serikali. Kuifanya nchi ikaingia hasara kubwa na kuudanganya umma kuwa Richmond ni kampuni halali ni wizi uliopita kiasi. Leo hii unakana utendaji wako wa kazi na kutuletea cheap politics.
1. Je hukujua majukumu ya waziri mkuu?
2. Kwanini ulijiuzulu?
3. Wale rafiki zako wanaokufadhili ni akina nani?
4. Kwanini unataka uraisi kwa nguvu hivyo?
5. Kwani lazima wewe tu uwe raisi?

Hahahahahahahahahahaaaaaaa

CCM nyoko jamani khaaaa

Yaani wameenda kuwaokota mpaka mawakala wa shetani kina Annael??

Mkuu zile nyuzi zako za kupinga uwepo wa Mungu zimeishia wapiii??
 
Last edited by a moderator:
Sipati picha. Mbowe, Rostam, Lowassa, Chenge, Lema, Mtei, Ndesamburo wakiwa Ikulu... Hata Shetani hawafikii
 
Mkuu jeuri hiyo hawana, lowassa sio wa kumchezea nina imani amejiandaa vya kutosha kukabiliana na mizengwe yoyote atakayofanyiwa.Huo uchunguzi wanaosema umekamilika ni baada ya lowassa kuhama ccm mbona mpaka leo uchunguzi wa stanbic ya escrow haujakamilika?
Samaki akiwa ndani ya bwawa anaweza akaogelea apendavyo lakini nje ya bwawa ni mwepesi kama karatasi.
 
Kinachonitisha zaidi ni lile genge la matajiri na mafisadi lililo nyuma yake waliotoa pesa za kununua chama. Hawa wakishika madaraka licha ya kunyonywa sana halitakuja liachie madaraka. Wa-Tz msifanye makosa kuwapa serikali yetu watu wa mashaka kama hawa, mtajuta!
 
Huyu pimbi(mtoa mada) mnamjibu wa nn ? Hawa ni wale vilaza wasiojua kutimiza ndoto zao kazi kufuta mabos zao viatu pale lumumba.Kiufupi hii nchi sio yako we kenge acha wenye nchi waamue wenyewe
 
Mmeshaambiwa mtangulie mahakamani, badala ya kwenda huko mnaleta porojo zenu za kiswahili swahili hapa!
 
Na anayetoka Ikulu utamshtaki lini.Maana wizi wote unaanzia Ikulu sasa utueze huyo aliyeko sasa naye ni lini mtampeleka mahakamani?

Kupata kwake madaraka ni kwa pesa za huyo leo tunayemuita fisadi sasa totauti yao nini?Pole mwambie atueleze deal la escrow lilikuwa la nani?
Tunaanza kwanza na huyu aliyekuwa mtendaji mkuu maana uchunguzi umekamilika. Uchunguzi wa escrow nawenyewe bado unaendelea kama wewe ulihusika panga lazima likukate. Huu wa EL upo tayari atapigwa viboko 12 wakati anaingi jela ya miaka 11 na viboko 12 wakati anatoka.
 
Annael

Nenda mahakamani wewe KITATANGE, tutakutana huko!
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo huo uchunguzi ulikuwa unasubiri ahame chama ndio ukamilike!?
Uchunguzi unataratibu zake. Mda mwafaka unapofika unatolewa na kufikishwa mbele ya sheria ili mtu aweze kula mvua.
 
Back
Top Bottom