Ikulu si pango la majambazi na wezi

Ikulu si pango la majambazi na wezi

Lowasa hachafuki mkuu, kachafuliwa tangu miaka ya 2008 na akina kubenea na wapinzani lakini leo hii lowasa ameendelea kuwa na wafuasi wengi. It is too late, watanzania wanaujua ukweli
 
Huu ni mda wa lunusuru chama. EL kaenda nje ya kabati lazima rungu lianzie kwake. yeye atawataja aliohusika nao kisha uchunguzi utafuata. Unaweza chukua miaka 20 kukamilika wakati yeye EL anakula mvua.

Unaweweseka tu,kwahiyo kama angebaki ndani ya ccm hilo rungu wala lisingemkuta?Afadhali umekiri kuwa ccm inaendeshwa kwa kulindana ukiwa ndani yake,ila ukiwa nje utatafutwa kwa kila namna!We both know mkuu wa kaya anahusika na hii issue otherwise isingetoka "direct order" kutoka juu kushinikiza kutokuvunjwa kwa mkataba!
Its a shame kwa CCM kuwakuta waliokuwa viongozi wa ngazi za juu ndani ya chama na serikalini hawana maadili,hivi hadi Pinda tunaambiwa na time ya maadili kuwa hana maadili ndio maana akakatwa!Katika watu 41,ni wa5 tu wenye maadili!Hii no aibu kwa chama tawala,tunataka waje watueleze wamewachukulia hatua gani wale wote ambao wameonekana hawana maadili!
 
Lowasa hachafuki mkuu, kachafuliwa tangu miaka ya 2008 na akina kubenea na wapinzani lakini leo hii lowasa ameendelea kuwa na wafuasi wengi. It is too late, watanzania wanaujua ukweli
Hakuna anayemuunga mkono lowassa labda wasakatonge, wenyenjaa maana jamaaa ni mwizi kupita kiasi nachungulia pesa huyo. Anatoa pesa kama njugu.
 
Unaweweseka tu,kwahiyo kama angebaki ndani ya ccm hilo rungu wala lisingemkuta?Afadhali umekiri kuwa ccm inaendeshwa kwa kulindana ukiwa ndani yake,ila ukiwa nje utatafutwa kwa kila namna!We both know mkuu wa kaya anahusika na hii issue otherwise isingetoka "direct order" kutoka juu kushinikiza kutokuvunjwa kwa mkataba!
Its a shame kwa CCM kuwakuta waliokuwa viongozi wa ngazi za juu ndani ya chama na serikalini hawana maadili,hivi hadi Pinda tunaambiwa na time ya maadili kuwa hana maadili ndio maana akakatwa!Katika watu 41,ni wa5 tu wenye maadili!Hii no aibu kwa chama tawala,tunataka waje watueleze wamewachukulia hatua gani wale wote ambao wameonekana hawana maadili!
Hebu soma hapo juu ripoti ya mnyika kuhusu lowassa.
 
Uchunguzi ulikuwa haujakamilika umekamilika sasa mda wowote atatakiwa mahakamani kwa kosa la uhujumu uchumi wa nchi.

Mimi na familia yangu tutamchagua muhujumu uchumi wa nchi.. Manake bora mhujumu uchumi kuliko panya CCM!! Tumeshajiandikisha wote sasa tunasubiri octoba.. Kura tano kwa nywele nyeupe toka familia yangu na wazee kule kijijini sijawahesabia hapo
 
Zinatupita kivipi. Magufuli ni jembe. Hatutaki wezi ndio waliotufikisha hapa.

Wagombea urais wako wengi mkuu, magufuli jembe, lakin naona wabongo wengi tunaongozwa na mahaba na sio reasoning, matokeo yake tunashabikia hata magalasa. nina imani na tingatinga, jembee magufuli
 
Watanzania wanajua mbivu, mbichi na mbovu, nakusikitia kuona leo Lowasa kaenda Chadema, amekuwa mwizi, nani wakulaumiwa ukitaka kujua tabia ya baba muangalie mtoto.
 
Annael

Mbona tayari majambazi yapo ikulu tena kwa nembo ya chama chako, na tunavyoongea sasa yanaficha hela iliyoibiwa hivi karibuni ikiwa ni pamoja na escrow? Acha kutuzuga mnafiki hii nchi ni haki miliki yenu shenzi type.
 
Last edited by a moderator:
Katika hali ya kawaida alipaswa kuitetea hoja yake na kitendo cha kujiuzulu haikuwa solution ya tatizo. Alipaswa kutetea taifa dhidi ya hasara itakayoingia. Je alikuwa hajui wajibu wake kama PM. Kwa sisi wanasheria huwa tunapenda kuwa na msimamo hata kama umefanya kosa. Ujue utu uzima si umri. Mm ndo mana huwa sipendi siasa za bongo. Ujinga wetu ndo umasikini wetu.Naipenda nchi yangu,Magufuli kiutendaji anafaa sana. Kwa kauli yake nyepesi ameiabisha nchi na chama pia.

Mapadlock amehujumu nchi makampuni ya kichina yanatoa ten percent ili kupata kazi, halafu yanajenga barabara mbovu halafu anazuga kuwafukuza, amka wewe uliyelala
 
[. account.. Jina la account likabadilika kuwa
Nyerere realtanganyikan

Hiki ndicho doctor Slaa alikua anapost

1. Usiku wa kuamkia Julai 27 Chadema tulifanya kikao cha Kamati Kuu jijini Dar es Salaam, Kikao maalum cha Chama na ajenga za Uchaguzi Mkuu.
2. Kikao huwa na mlolongo wa mijadala na ni kawaida kwa vyama kualika watu mbalimbali katika baadhi ya mijadala yao kutegemea unyeti wake.
3. Moja ya wageni waalikwa alikuwa Edward Lowassa. Alialikwa kwa mambo ambayo yataainishwa hapa. Kisha tutaendela na dondoo za Kikao.
4. Lowassa amealikwa kama kiongozi toka CCM, na amealikwa kwa kuomba kwake mwenyewe kuhudhuria sehemu tu ya mjadala wa chama.
5. Kama kama mmoja ya wanasiasa wenye ushawishi na ambaye amekuwa na tuhuma nyingi ametueleza kwa kina zaidi mengi ambayo umma haukufahamu.
6. Si muda wa kuzungumza undani wa mazungumzo yake na Chadema, muda huo utafika na yote yatawekwa bayana kwa Watanzania wote.
7. Kwa miaka 23 upinzani sasa umefikia hatua ya kuongoza nchi yetu. Watanzania watambue kwamba tuko makini sana katika wakati huu.
8. Tuna intelijensia ya kutosha kujua nini kinaendelea, nani anahama CCM na kwa nini, nani anakuja kwetu kwa mema na nani ametumwa.
9. Muda wa Chadema kuchukua makapi, kuyumbishwa na intelijensia butu ya nchi ulipita zamani. Chama tawala kinatambua hili kwa wazi kabisa.
10. Tunaomba iwepo subira, tunakaribisha wana CCM wanaotaka kuja kujieleza mbele yetu, tutawajadili tutaripoti kwa Watanzania, tutaamua.
11. Wako wana CCM ambao wamekuja kwetu kujieleza kuhusu tuhuma zao na vielelezo lukuki, Lowassa si wa kwanza wala wa mwisho kufanya hivyo.
12. Ukituhumiwa, ukajieleza na kutupa vielelezo visivyo na shaka vya nani hasa mwenye kosa tutakusikiliza, Watanzania watakusikiliza.
Ndugu Watanzania, CCM ni kansa. Imekula nchi, imeongopa, imeua, haina dira. Sii CCM ya Mwalimu. Tatizo namba 1 la Watanzania ni CCM.
Kwa miaka 10 tumekwama katika kundi la nchi masikini zaidi duniani.
Bado sisi ni moja ya nchi ambazo wananchi hawana Bima ya Afya ya umma.
Kwa miaka 10 tumeona elimu yetu ikiporomoka mbele ya macho yetu huku shilingi ikifa mbele ya sarafu za kigeni. Si bahati mbaya, ni mfumo.
Wana-CCM popote walipo wasidhani kwamba wakishindwa walipo watakuja Chadema na moja kwa moja tutawapa nafasi. Tuna utaratibu, tutaufuata.

Kisha Nadhan huyo hacker ndipo alipo hack, then akapost hichi
THIS ACCOUNT IS OFFICIALLY A PROPERTY OF THE PEOPLE OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MPAKA SIKU CHADEMA WAOMBE RADHI. NEXT HACKING IS ....
Kisha

This is a movement by patriots, experts in Cyber Security who wants to stop dishonest politicians from pushing trash to the public.

Kisha

We will take down 5 accounts, prominent politicians from different parties. We have already sent a couple of warnings.

ANAENDELEA KUPOST MFULULIZO MDA HUU
[/SIZE]

UPDATES:
Amebadili profile pic kuwa picha ya Lowassa... Na pia Amebadili jina kuwa African realtanganyikan[/QUOTE]

Escrow...escrow

Nani tena yule anaesimamia ikulu alopata mgao akasema ni .............
 
Last edited by a moderator:
Hakika nakubaliana nawe.
Bahatimbaya Majambazi wamejipanga kuingia Ikulu kwa gharama yoyote!

Ambalo ni dhahiri ni kwamba watashindwa!
AHSANTE SANA LOWASA umetusaidia KUWAJUA ZAIDI CHADEMA NA UKAWA YAO!
Watanzania si wajinga wala Mabwege mtozeni. Hawasahau kamwe kama mnavyofikiri.
Wakati ukifika MANENO STAHIKI YENU YATAWAFIKIA MSIWE NA PUPA!
 
Kuna jamaa anafanya biashara ya siasa. Huyu ni wakumugopa zaidi ya ukoma.
 
Uchafu ni uchafu tu. Na hatimaye wapinzani wageuka kuwa wabeba uozo. Waliuanzisha wao na hatimaye wanajuta namna gani ya kuusafisha. Zege mlilikoroga itabidi mlimalize na mhakikishe mnamsafisha lowassa ipasavyo.
 
Dk mwakyembe alisema hivi "hatuwezi kuzungumza mambo yote tuliyoyagundua maana serikali ingeanguka hivyo tunamuomba waziri mkuu ajipime aamue" hiyo mahakama ijiandae kumtia jela jakaya kama kweli upelelezi umekamilika.

Na waziri mkuu alijipima na kuachia ngazi baada ya kuona uhusika wake wa moja kwa moja akilazimisha kampuni feki ipewe tenda ofcoarse ni baada ya nguvu ya pesa ukitilia maanani alivyo fisadi. Hakuna sehemu ya report inaonyesha kuhusika kwa Raisi. CHADEMA acheni kutapatapa, mmejiondoa kutoka chama cha wapambanaji na kuwa chama cha MAFISADI ni aibu na pigo kwa wapambanaji a wataka maendeleo ya kweli maana vyama vimejaa wasaka tonge tu. Vueni magwanda vaeni kanga tu
 
Na waziri mkuu alijipima na kuachia ngazi baada ya kuona uhusika wake wa moja kwa moja akilazimisha kampuni feki ipewe tenda ofcoarse ni baada ya nguvu ya pesa ukitilia maanani alivyo fisadi. Hakuna sehemu ya report inaonyesha kuhusika kwa Raisi. CHADEMA acheni kutapatapa, mmejiondoa kutoka chama cha wapambanaji na kuwa chama cha MAFISADI ni aibu na pigo kwa wapambanaji a wataka maendeleo ya kweli maana vyama vimejaa wasaka tonge tu. Vueni magwanda vaeni kanga tu
Halafu Lema anasema eti akili zake zilikuwa zimekamatwa na alikuwa hana uwezo wa kufikiria vizuri. Kazi kwenu
 
Ujumbe huu mwanana umeujua lini? Katika mazingira gani? Je reference yako ni kwa nani? Nakuhurumia kwa sababu inaonekana hujajipanga kwa vile umeshakuwa nje ya wakati na matukio yameshakupita. Mwl. Nyerere aliwahi kusema ili tuendelee tunahitaji vitu vinne yaani "Watu, Ardhi, Siasa Safi na Uongozi bora" Je ni nini kinachokosekana tangu tujipatie Uhuru zaidi ya miaka 54 ilopita?
Akili za kushikiwa ndio huzaa ujinga huu. Hivi, Nyerere alipokuwa akienda nje, akitembeza bakuli, alikuwa akiomba watu au ardhi ama siasa safi au uongozi bora?

Haya sasa Nyerere alishakufa, utamsubiri nani aseme ndio upate pa kuanzia? Au ndio kila siku utabaki palepale, Nyerere alisema?
 
Back
Top Bottom