Ikulu si pango la majambazi na wezi

Ikulu si pango la majambazi na wezi

Tuanze na Magufuli aliyeuza nyumba ya serikali kumkataa asiingie Ikulu.Maana Wizara yake inaongoza kwa wizi,ubadhirifu,rushwa na ufisadi.

Annael,unaonaje tukianza na huyu tuseme Hapana kwa watu kama akina Magufuli?
 
Mkuu umeandika maneno ya ujenzi sana.
 
Annael

Mwaka huu mtaujua ukawa,kudadadeki lazima ccm mkalishwe
 
Last edited by a moderator:
Na hivi amehama chama mtatafuta ushahidi wa uongo kwa kila namna ili mummalize kabsa..anzeni kwanza na hao walipo madarakan kwa kuwachunguza na kuwashtaki ndio mmalize na mzee wa maamuz magumu


R.I.P CCM

Hajawahi kutokea mwizi akajipeleka mahakamani
 
We unajua hatima yetu hata kama ccm wakichukua nchi? Hatuamini popote! Ila mbadiliko ni lazima!! Acha kutufundisha uoga!! Maendeleo hayaletwi na uoga!!!
 
Ujumbe huu mwanana umeujua lini? Katika mazingira gani? Je reference yako ni kwa nani? Nakuhurumia kwa sababu inaonekana hujajipanga kwa vile umeshakuwa nje ya wakati na matukio yameshakupita. Mwl. Nyerere aliwahi kusema ili tuendelee tunahitaji vitu vinne yaani "Watu, Ardhi, Siasa Safi na Uongozi bora" Je ni nini kinachokosekana tangu tujipatie Uhuru zaidi ya miaka 54 ilopita?

Hatuna uongozi bora
 
ikulu sio pango la wezi. Kaa ukijua hilo. Na mtu anaye taka kwenda ikulu kwa namna yoyote tumuepuke kama ukoma. Huyu ni mwizi na jambazi kamwe hawezi kuwa safi.

Wewe mwenyewe unatoa harufu chafu ya ufisadi...
 
Mbona hukusema Haya yooote hapo Kabla? Baada ya kuhama chama Ndo amekuwa muhujumu uchumi? Kumbe ccm Ndo mnalea ufisadi na uhujumu uchumi? Wako wangapi huko mbona hamsemi au mnangoja wahame chama Ndo muwaseme? Acheni siasa za chuki mmeshamkataa achaneni na mzee wa watu mnamwandama wa nn sasa?
 
Tunaanza na waliotoa agizo
Mahakamani tunaenda na reference. Kwani EL alipewa agizo kivipi? Yeye kwanza anakula mvua 11 ndio tunaanza na mengine
 
Uchunguzi ulikuwa haujakamilika umekamilika sasa mda wowote atatakiwa mahakamani kwa kosa la uhujumu uchumi wa nchi.

Acheni unafiki meremeta, escrow, epa, pesa za viroba , mikataba ya miaka mia moja vyote vimefanyikia wapi wapi balali tutashuhudia mengi mwaka huu.
 
Uchunguzi unataratibu zake. Mda mwafaka unapofika unatolewa na kufikishwa mbele ya sheria ili mtu aweze kula mvua.
Kwahiyo KIKWETE anaweza kwenda kuungana na BABU SEYA muda wowote kuanzia sasa?.

CCM ni yetu sote! Tusichokozane tafadhali!
 
Back
Top Bottom