IKULU: Rais Magufuli apokea taarifa ya ripoti ya Pili ya Mchanga. Waliosaini Mikataba Wakaangwa

Dr. Magufuli ameshaamua Kuwaburuza Mahakani Wote waliohusika katika kufanikisha Wazungu kutuibia Madini Wanaotajwa ni Wanasheria wakuu wa Awamu zilizopita, Mawaziri wa Nishati na Madini.

Kama Ilivyo watuhumiwa wa wizi huwa wanapata hasira na Kukimbilia CHADEMA huko Kubadilishwa majina na kuitwa majembe!

Ninawatakia Maisha mema ndani ya CHADEMA wadokozi hawa walioigharimu Nchi kwa Muda Mrefu.Kila Mtu atabeba mzigo wake.
duh mimi simo. anything possible
 
Labda kama Yesu atarudi leo; otherwise ni usanii kama wa joti kukaa shela hawezi kuwa mwanamke hata siku moja. Hana uwezo wa kumpeleka mahakamani major JK huyo. Hana
 
Dr. Magufuli ameshaamua Kuwaburuza Mahakani Wote waliohusika katika kufanikisha Wazungu kutuibia Madini Wanaotajwa ni Wanasheria wakuu wa Awamu zilizopita, Mawaziri wa Nishati na Madini.

Kama Ilivyo watuhumiwa wa wizi huwa wanapata hasira na Kukimbilia CHADEMA huko Kubadilishwa majina na kuitwa majembe!

Ninawatakia Maisha mema ndani ya CHADEMA wadokozi hawa walioigharimu Nchi kwa Muda Mrefu.Kila Mtu atabeba mzigo wake.
Msiwasahau waliokuwa wanasema ndiooooooooo
 
mbona mpaka sasa chenge hajajiuzuru?
 
Wote walio tajwa hakuna hata mmoja atakae mgusa, zigo lote alimuangushi pro. Muhongo maana anajua si mtu wa kelele bali kazi, hatathubutu kumgusa mwingine yoyote, na Muhongo kamtoa kafara kufurahisha wananchi wachache wenye uelewa mdogo, MUHONGO kwa lipi?! Halafu unashindwa kumfukuza chenge kwenye uenyekiti wa bunge? Spika alikuwa pale kwa nini asimuamuru chenge aachie nafasi?! Thubutu kuna wengine hawagusiki.
 
Dr. Magufuli ameshaamua Kuwaburuza Mahakani Wote waliohusika katika kufanikisha Wazungu kutuibia Madini Wanaotajwa ni Wanasheria wakuu wa Awamu zilizopita, Mawaziri wa Nishati na Madini.

Kama Ilivyo watuhumiwa wa wizi huwa wanapata hasira na Kukimbilia CHADEMA huko Kubadilishwa majina na kuitwa majembe!

Ninawatakia Maisha mema ndani ya CHADEMA wadokozi hawa walioigharimu Nchi kwa Muda Mrefu.Kila Mtu atabeba mzigo wake.
mbona mpaka sasa chenge hajajiuzuru?
 
Dr. Magufuli ameshaamua Kuwaburuza Mahakani Wote waliohusika katika kufanikisha Wazungu kutuibia Madini Wanaotajwa ni Wanasheria wakuu wa Awamu zilizopita, Mawaziri wa Nishati na Madini.

Kama Ilivyo watuhumiwa wa wizi huwa wanapata hasira na Kukimbilia CHADEMA huko Kubadilishwa majina na kuitwa majembe!

Ninawatakia Maisha mema ndani ya CHADEMA wadokozi hawa walioigharimu Nchi kwa Muda Mrefu.Kila Mtu atabeba mzigo wake.
Tunaomba pia na wale wote waliokuwa wanalipwa elfu saba ili kuteyea huku kwenye mitandao nao pia wahusishwe kwenye kesi. Akiongozwa na troll, wakudadavua, lizaboni, faiz foxy and co.
 
Kama kweli nadhani ccm itakuwa imeonesha uzalendo wa kweli kweli. Hata wakienda kuhukumiwa na kada mzoefu wa ccm huko mahakamani lakini tutakuwa tumewaona wengine wakihukumiwa kupiga deki mahakama ya Kisutu na Muhumbili Hospital. Itazisuuzisha nyoyo za watu kidogo.
Wala msiitaifishe mijumba na mikasri yao. Kwani mkiitaifisha nnani atakaa huko?? Waliokosa madawa hospitalini weshajifilia. Baba yetu ukaaye hapo magogoni, ufalme wako utufikie huku kwa walala hoi. Uwakamate hao waliotufikisha hapa tulipo, hata kama hukuweza kufikisha nusu yao lakini sifa na utukufu ukufikie kwa hao hao wachache uliowakamata. Kwani leo ndo enzi yako na mamlaka kamili unayo. Sasa baba utakuwa umeitumia vizuri ka ulivyo ahidi kuwasaidia wanyonge
 
mmmmmh hapa ngoma itakua tamu....hawezi thubutu,,,,anatudanganya akijua sisis n mbumbumbu
 
YANI UNAMAANISHA KUWA WEZI WA WANAIBA CCM HALAFU WANAKIMBILIA CHADEMA SIO..UMESAHAU KUWA WAKIFIKA CHADEMA WANAKUTANA NA ILANI MPYA,WANAPOKEA UBATIZO MPYA NA KUWA WATAKATIFU??!!!
 
Kama bunge linalotarajiwa kujadili mambo hayo haliruhusiwi kuwa laivu,tuna nia njema?

Tunataka uwazi wa kisheria katika madini,lakini wanaojadili sheria hizo tumezuia wasiwe laivu!

Ni mwendelezo wa usiri katika mambo ya kitaifa!
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Back
Top Bottom