IKULU: Rais Magufuli apokea taarifa ya ripoti ya Pili ya Mchanga. Waliosaini Mikataba Wakaangwa

hawezi kumchukua Lisu hata siku moja, anavyomwamini kabudi anamwona ndio mwanasheria pekee hapa tz, uliona alivyomsifia ile jana, utafikiri uprofesa wake ulichukulia kwenye mikataba na madini?hahahaha. only lawyers can know this.
 
Sina maneno mengi ila nipende kuutambua mchango wa hoja nzito zitokazo kwa mh. Tundu Lissu, awapo nje na ndani ya bunge.

Nitatofautiana na watu wengi hasa wanaccm wenzangu ambao kwao bora ccm iishi ila Tanzania(Tanganyika) ife. Ila kwangu licha ya kuendelea kuona ccm ni chama bora ukilinganisha na vyama tulivyonavyo nchini, na kinaweza kuwa chama kibovu na cha hovyo kabisa ukikiweka kwenye mizania ya kimataifa.

Niwe wazi kwa mh. MWENYEKITI WANGU NA RAIS WANGU John Pombe Joseph Magufuri huu ni ushauri usio na chembe ya UNAFIKI ebu mchukue Mh. Lissu asaidie taifa weka usiasa pembeni Tanzania ni ya Watanzania wala siyo ya CCM au Chadema ama Cuf. Jishushe muite mh. Lissu umuombe awe kwenye jopo la wanasheria wa kupitia(reviews) za SHERIA YA MADINI NA GESI huyu mtu hakika anazijua sheria za hii nchi kuliko majaji na maprofessor wa sheria wa nchi hii.

Naomba nikushauri mh. RAIS huu mwanya wa hawa BARRICK kutaka kuwepo negotiation tuutumie kutatua mikataba hii ya madini hasa maana naona tunakomalia sheria vipi mikataba iliyofungwa kwa sheria za hovyo na kinyonyaji utambue sheria mpya haiwezi kuukumu kosa la zamani.

Mwisho ninayo mambo mawili ya kukumbusha KATIBA MPYA hasa isiyo na mlengo wa mavyama kama unavyoyaita ni mhimu kuliko kitu kingine ata hizo sheria tutakazofanyia marekebisho. Cha mwisho nakumbusha NYERERE tulikuwa naye alifanya makubwa akafariki Tanzania ikabaki na leo ni kipimo cha UADILIFU, UCHAPA KAZI NA UTU NA UTANGAMANO WA TAIFA, alifanikiwa kufanya haya maana alikuwa na falsafa UJAMAA(udugu) na KUJITEGEMEA(uchapa kazi) haya mambo yalimfanya akafanikiwa maana ndiyo yalikuwa dira na imani yake. Sasa hivi taifa(TANZANIA) halina FALSAFA (imani) ambazo zinaweza kuwaongoza watanzania. What if unamaliza miaka 5 anaingia mwingine nini kitamfanya afuate nyayo zako ata kama ni nzuri.???

Somo la UZALENDO LIANZISHWE mara moja mashuleni na kila raia atafutiwe namna ya kuonesha na kuishi uzalendo kwa nchi yake.
Ni hayo tu kwa leo.
MUNGU IBARIKA TANZANIA.
Lizaboni &Co.Ltd, njoo huku kuna mtu analeta utani na JPM, njoo please njoo! Lumumba njoo, njoo, njoo
 
Labda umchukuwe awe mshauri wa familia na ukoo wako, hii nchi haiwezi kufanya kazi na kilaza kama huyo, by the way umeona jinsi namba za chadema zilivyoshuka, ktk 30-17% na hii ni shauri ya huyo kilaza wenu mnayemtukuza!
 
Acacia / Barrick Gold have bad record on account of human rights / environmental pollution / under declaration. So called panel of experts of Barrick Gold slated to discuss with Tanzanian panel of experts; are very likely to undermine Tanzanian findings. They will put in all their efforts to justify their position. The international mining community also may be having those backing Barrick Gold. Considering that the amount of misappropriation involved is very big, thorough but quick action is crucial where these factors also need to be accounted for. The entire process of recovery and further remedial action needs to be conducted in a specific time frame and with linkage to the national priorities. Eighteen years lost can not be recovered but this wealth has to be linked directly to development projects as railways, roads, education, health. Wealth originating from mining has to raise the standard of living of the people but starting with the community where the mine is located. The local community should be knowledgeable of the management of the mining product in the context of associated challenges and opportunities. Just as the contract with the mining companies needs to be in the public domain, so also, the management.
 
e36754b8fa43fd6657ccd527cd148dc7.jpg
5070065410a231a156c6a1e75210feaa.jpg
Kwa wale mnaoendelea kusubiri Noah zenu naomba tu niwataarifu kuwa kampuni inayobidi itulipe kwa wizi waliofanya bado inaendelea kupiga kazi. Na inapiga kazi kisawa sawa.
 
Mi nashangaa sana kumuona kila siku magufuli anatumia majukwaa ya siasa na kulialia jinsi tunavyoibiwa na wa zungu lakini mikataba kaificha hataki tuijue. Kama ni mzalendo na kaamua kutushirikisha katika jambo hili, hata mikataba yao aiweke wazi.

Kama mikataba inaifichwa sisi tutajuaje kama ni wao wanao tuibia au bwana yule aliyewakaribisha na kuwapa mikataba?

Kama kweli wao ndyo wanatuibia, weka mikataba mezani tuione. Tujue mwizi ni nani na wahisani wa hao wezi ni wakina nani.

Tunaweza kuwa tunapiga zogo tu hapa kumbe hata mikataba yenyewe ndyo ipo mwishoni. Au ilikuwa inawaruhusu wachimbe bila kulipa cooperate tax ( tax releaf).

Haiwezekani watu wanaotuhumiwa kutuibia mpaka sasa bado wanaendelea operation kama kawa et huku tukisubiri mazungumzo. There must be something wrong.

Kwa tuhuma kama hii, migodi ilipaswa iwe imefungwa mpaka sasa hadi maongezi yaishe. Over.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa tuhuma kama hii migodi ilipaswa iwe imefungwa mpaka sasa hadi maongezi yaishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
hongera kwa kushtukia mchezo ila ulitakiwa kuwa umeshashtukia tangu kelele hizo zilipoanza.
 
Mi nashangaa sana kumuona kila siku magufuli anatumia majukwaa ya siasa na kulialia jinsi tunavyoibiwa na wa zungu lakini mikataba kaificha hataki tuijue. Kama ni mzalendo na kaamua kutushirikisha katika jambo hili, hata mikataba yao aiweke wazi.

Kama mikataba inaifichwa sisi tutajuaje kama ni wao wanao tuibia au bwana yule aliyewakaribisha na kuwapa mikataba?

Kama kweli wao ndyo wanatuibia, weka mikataba mezani tuione. Tujue mwizi ni nani na wahisani wa hao wezi ni wakina nani.

Tunaweza kuwa tunapiga zogo tu hapa kumbe hata mikataba yenyewe ndyo ipo mwishoni. Au ilikuwa inawaruhusu wachimbe bila kulipa cooperate tax ( tax releaf).

Haiwezekani watu wanaotuhumiwa kutuibia mpaka sasa bado wanaendelea operation kama kawa et huku tukisubiri mazungumzo. There must be something wrong.

Kwa tuhuma kama hii, migodi ilipaswa iwe imefungwa mpaka sasa hadi maongezi yaishe. Over.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni bora kuibiwa mara 100 kuliko kukusanya kodi za majengo kisha kumwambia Doto kule Hazina achote pesa za Umma kienyeji kumpatia Lipumba azitume kuua CUF na kuuteketeza upinzani, makusanyo pato la Taifa badala ya viwanda na maendeleo sasa pato la Taifa linaenda kwa Lipumba na wajanja wa ccm kwa kazi moja kuua Upinzani ili mfumo wa chama kimoja urejee hivyo hata wazungu wakilipa hiyo pesa haitakuwa na maana kwani matumizi yake yote yatakwenda kwa Lipumba na wajanja wa ccm awamu hii ya 5 ndiyo inatumia pesa nyingi za umma kwa mambo ya hovyo kuliko awamu zote zilizopita
 
Alianza kuwaita wezi, wakwepa kodi, kampuni zao hazijasajiriwa, baada ya siku moja tu anawakaribisha ikulu kwa mbwembwe, wanapiga selfie na kuwaita wao ni wanaume!!

Na mwisho anapiga marufuku kuwajadili wakubwa ambao walituingiza mkenge na ripoti 'aliyoitunga' yeye mwenyewe kuifungia ikulu kama kumbukumbu yake ya utunzi uliotukuka!!

Sasa anatusisitiza Tumuombee, tuandamane kumuunga mkono, tubadilishe katiba akae milele nk.
 
Back
Top Bottom