Security ni shida zaidi kulinda eneo lote, pia kuweka kiwanja Cha ndege usalama pia ni Mashaka!! Unamwekea Mhalifu aliyejipanga sehemu ya kutua!?Pia sikuona sababu ya Ikulu kuwa na eneo kubwa vile, operations costs ni kubwa sana
Security ni shida zaidi kulinda eneo lote, pia kuweka kiwanja Cha ndege usalama pia ni Mashaka!! Unamwekea Mhalifu aliyejipanga sehemu ya kutua!?Pia sikuona sababu ya Ikulu kuwa na eneo kubwa vile, operations costs ni kubwa sana
Upo Tanzania hii!? Bado uhitaji ni Mkubwa sana, Bado hata matundu ya vyoo hatujamalizaSasa nikuulize je kuna miradi yoyote ya maji aus shule imesimama? pesa za Corona zote zilienda kujenga mashule basi hatuna cha kufanya nikujenga mashule tu au? kuna pesa zimeombwa kujenga flyover Dar kwa hiyo mimi wa Tanga au Moshi niseme tunachezea pesa flyover za nini wakati sisi hatuna maji? kuna vipaumbele vya mtu binafsi na vipaumbele kama nchi kwa ujumla, hii nchi ina wizara zaidi ya 20 na kila wizara ina vipaumbele vyake na wanaomba pesa bungeni ili kazi zifanyike sasa ukianza kusema hiki sio kipaumbele hiki sio hivi au ndege sio muhimu lakini kuna watu wanafaidikia na safari za ndege haya yote yanafanyiwa kazi kwenye mikutano ya budget na mambo mengine sio ya serikali kuu kuyafanya ni huko mikoani au wilayani wana vipaumbele vyao.
Yaani kwa akili yako ikulu iwe hazina kwa vizazi vijavyo kuliko elimu bora,,afya bora,,maji safii na ya uhakika,,,miundombinu bora nk nk??Una utovu wa nidhamu!!!Ukiona mtu yoyote katia neno kwanini pesa hizo zisiende kwenye elimu ujue mwisho wake wa kufikiri umeishia hapo. Ngoja nikujibu kwa urahisi tu, Ikulu ya nchi ni hazina ya nchi na itabaki hata vizazi vinayokuja ni muhimu kuwa na sehemu bora ya kufanya shughuli za serikali wala sio kupoteza pesa kwa mawazo yako maana ni kama kusema budget ya nchi 100% iende kwenye shule tu huu ni ujinga kila kitu kinapangwa kwa budget na elimu ina budget yake. Ukisema kodi kwani uliambiwa kodi yako inaongezake kulipia ujenzi? acheni gubu hata wewe unaweza kumuita mtoto wako Magufuli. Stand Magufuli, Mji wa serikali Magufuli na mpaka ikulu Magufuli imekuwa nini tena, Nyerere jina lake liko kila sehemu mimi naona tubadilishe nchi jina tu kutoka Repuclic of Tanzania to Republic of Nyerere au Magufuli
Kuhusu flyover Za Dar ni kitu tofauti, 80% ya Kodi inakusanywa Dar, lazima Watu wawezeshwe kuwahi kufika kunako shughuli ili Kodi ziongezeke na Tija kazini Kwa kufika Kwa Wakati na Muda sahihiSasa nikuulize je kuna miradi yoyote ya maji aus shule imesimama? pesa za Corona zote zilienda kujenga mashule basi hatuna cha kufanya nikujenga mashule tu au? kuna pesa zimeombwa kujenga flyover Dar kwa hiyo mimi wa Tanga au Moshi niseme tunachezea pesa flyover za nini wakati sisi hatuna maji? kuna vipaumbele vya mtu binafsi na vipaumbele kama nchi kwa ujumla, hii nchi ina wizara zaidi ya 20 na kila wizara ina vipaumbele vyake na wanaomba pesa bungeni ili kazi zifanyike sasa ukianza kusema hiki sio kipaumbele hiki sio hivi au ndege sio muhimu lakini kuna watu wanafaidikia na safari za ndege haya yote yanafanyiwa kazi kwenye mikutano ya budget na mambo mengine sio ya serikali kuu kuyafanya ni huko mikoani au wilayani wana vipaumbele vyao.
Hayo ya matundu kamwambie diwani wako sio Raisi wa nchi, mbona nyinyi mnajenga nyumba za kuishi nzuri sasa matundu yanawashindaUpo Tanzania hii!? Bado uhitaji ni Mkubwa sana, Bado hata matundu ya vyoo hatujamaliza
Sasa kaangalie budget ya miundombinu, elimu na maji imepunguzwa? acheni gubu wewe umeanza kujenga nyumba ya kuishi au ulichimba kisima kwanza...Yaani kwa akili yako ikulu iwe hazina kwa vizazi vijavyo kuliko elimu bora,,afya bora,,maji safii na ya uhakika,,,miundombinu bora nk nk??Una utovu wa nidhamu!!!
Himars una madini sana ukiona mtu anapinga Elimu jua pana shida hapo Mh Kikwete nilimkubali sana alipotoa hela kukopesha watu wasome na tunaona matunda ya wale waliopata zile fedha bila masharti mengi ingawaje baadae ilifutwa ukiona Nchi kipaumbele chake sio Elimu itaku na Taifa la Wajinga sana huko Mbele ..Huyo jamaa hana akili.
Elimu ndo Msingi wa maendeleo ya nchi yoyote duniani.
Bila Elimu bora wananchi hawataendelea
Tatizo langu si jina la Ikulu.Je, kuna ulazima wa yafuatayo au ni kupoteza pesa za walipa kodi?
NB: Kama wanatimiliza Ndoto ya Nyerere kwanini Complex isiitwe Nyerere Complex au iitwe aliyeanzisha Ujenzi Magufuli Complex. Kwanini iitwe Samia Complex?
- Kujenga Njia ya Kuruka Ndege Ikulu.
- Ujenzi wa Viwanja vya Golf.
- Ujenzi wa Complex ya watu 2000-3000
Je, Watanzania tuna kodi kiasi hicho kujenga Ikulu ya namna hiyo? Kuna ulazima gani?
Je, nani mnufaika wa hayo yote?
Kwanini hizo pesa zisiende kwenye elimu ya awali na msingi maana huko ndo chanzo cha madudu ya huku juu?
Unajua tatizo liko wapi, tatizo ni Walimu wa Sekondari wanapokea wanafunzi wenye kiwango cha chini cha elimu.Himars una madini sana ukiona mtu anapinga Elimu jua pana shida hapo Mh Kikwete nilimkubali sana alipotoa hela kukopesha watu wasome na tunaona matunda ya wale waliopata zile fedha bila masharti mengi ingawaje baadae ilifutwa ukiona Nchi kipaumbele chake sio Elimu itaku na Taifa la Wajinga sana huko Mbele ..
Watu wanatengeneza njia za ulaji.Tatizo langu si jina la Ikulu.
Ukishaweka huduma zote hizo ndani ya ikulu, hiyo Ikulu itakuwa na usalama gani?
Gulio la watu 2000 au 3000, uwanja wa kutua ndege utakaohitaji wahudumiaji wengi kwa usafiri wa anga.
Hivi wanaomshauri mama wana akili kweli?
Kawangusha je?Usiposema samia complex utahalishaje upigaji wa fedha? Yaani hapo upigaji umehalishwa. Ni mwendo wa kula tu.
Huyu mama kwakweli anawaangusha sana wanawake wenzie kiuongozi.
Kwanza ilikubidi uelewe kwanini kodi inakusanywa Dar zaidi na vyanzo vipi? Tz sio federal state pesa zina mfuko mmoja tu na hizo kodi sio zinalipwa na wakaazi wa Dar nyingi ni wafanya biashara wanachukua mizigo yao kupitia Dar bandarini sababu kila kitu kinaingia kupitia Dar na kodi inalipwa pale kila mwananchi anachangia ila ukitoa soko la Kariakoo sehemu zingine zote hakuna kitu bandari ndio key sasa siku ikihamia Bagamoyo ndio utajuwa... uwanja wa ndege tu Zanzibar kwa mara ya kwanza wameipiku Dar kwa wingi wa abiria..ila naunga mkono kuboresha njia zote Dar na hata sehemu zingine sababu foleni zinakera na zina zorotesha uchumi.Kuhusu flyover Za Dar ni kitu tofauti, 80% ya Kodi inakusanywa Dar, lazima Watu wawezeshwe kuwahi kufika kunako shughuli ili Kodi ziongezeke na Tija kazini Kwa kufika Kwa Wakati na Muda sahihi
Hacha amalize ndoto za mwenda zake kama hasinge malizie mgekuja hapa kumnangaKifurushi cha bima ya watoto yenyewe wameshindwa. Kisha mmama mtu mzima wanayemuita rais anashangilia kujengwa kiwanja kwa golf sababu anajua wajukuu zake watatibiwa ulaya.
Kodi za magari wanachukua bure tuu nilikua naangalia gari ya 2014 ina kodi zaidi ya 40m yaani wao wanapata faida kubwa kuliko Kiwanda unategemea hiyo Nchi kutakua na kiwanda cha magari kweli? Maana hiyo kodi tu ni faida kwao...Watu wanatengeneza njia za ulaji.
Eti Ikulu inawekwa hadi Sehemu ya Ikulu ya Zanzibar
Inaweka sehemu ya nyumba za Wakuu wa nchi za East Afrika.
Sijui tumechanganyikiwa na nini
Tanzania atizo sio elimu bali uzalendoHuyo jamaa hana akili.
Elimu ndo Msingi wa maendeleo ya nchi yoyote duniani.
Bila Elimu bora wananchi hawataendelea
Wivu wa kike in Msekwa's voiceJe, kuna ulazima wa yafuatayo au ni kupoteza pesa za walipa kodi?
NB: Kama wanatimiliza Ndoto ya Nyerere kwanini Complex isiitwe Nyerere Complex au iitwe aliyeanzisha Ujenzi Magufuli Complex. Kwanini iitwe Samia Complex?
- Kujenga Njia ya Kuruka Ndege Ikulu.
- Ujenzi wa Viwanja vya Golf.
- Ujenzi wa Complex ya watu 2000-3000
Je, Watanzania tuna kodi kiasi hicho kujenga Ikulu ya namna hiyo? Kuna ulazima gani?
Je, nani mnufaika wa hayo yote?
Kwanini hizo pesa zisiende kwenye elimu ya awali na msingi maana huko ndo chanzo cha madudu ya huku juu?
Ukiona mtu yoyote katia neno kwanini pesa hizo zisiende kwenye elimu ujue mwisho wake wa kufikiri umeishia hapo. Ngoja nikujibu kwa urahisi tu, Ikulu ya nchi ni hazina ya nchi na itabaki hata vizazi vinayokuja ni muhimu kuwa na sehemu bora ya kufanya shughuli za serikali wala sio kupoteza pesa kwa mawazo yako maana ni kama kusema budget ya nchi 100% iende kwenye shule tu huu ni ujinga kila kitu kinapangwa kwa budget na elimu ina budget yake. Ukisema kodi kwani uliambiwa kodi yako inaongezake kulipia ujenzi? acheni gubu hata wewe unaweza kumuita mtoto wako Magufuli. Stand Magufuli, Mji wa serikali Magufuli na mpaka ikulu Magufuli imekuwa nini tena, Nyerere jina lake liko kila sehemu mimi naona tubadilishe nchi jina tu kutoka Repuclic of Tanzania to Republic of Nyerere au Magufuli
Sasa ulitaka wakae chini ya mwembe? wewe tafuta pesa tu kelele hazisaidii, unajuwa maana ya matumizi ya kawaida ombe upewe darasa. Mishahara wanaokota hata wewe kwako nyumbani una matumizi ya kawaida na ndio mshahara wako unanunua chakula, unalipa bill zako, ada kama kodi hayo ni kawaida labda 80% ya kipato sasa hiyo 20% kafanyie maendeleo usipate hasira nchi inaendeshwa kama unavyoendesha nyumba yako hata wewe ukija kuambiwa changia ujenzi wa shule na nyumba utahama sababu sio priority yako.Acha upoyoyo ww iv hapo ulipo unafaidika nn na ikulu? au unajua ni pesa kiasi gn itagharimu ktk kuuhudumia ikulu plus uwanja plus wafanyakaz nk. au ile unabiwa bajet ya serikali ni billion 700 kwa mfano af bajet ya matumiz ya kawaida billion 670 af bajet ya matendeleo bill30 ? ukipiga mahesab ya haraka haraka ni kwa ajiri ya familia zao na mzigo kwa raia.