Ikulu mpya na maswali

Tutachukua muda sana kuendelea ,viongozi ni wabinafsi sana ,hawaangalii mateso wanayoyapata waTZ kwa kuwatoza mikodi ya kufa mtu halafu hizo fedha wanaenda kuzitapakanya! Ni ujinga mnatenga kila mwaka biioni 580 kununua magari halafu baada ya mwaka viongozi wanayanunua kwa milioni 2 hadi 3 wakati bajeti moja ni 400m.
 
Umesema sahihi sana
 
Maswali hapa yanaweza kumalizwa na usemi wa Waswahili: “Aliyeshiba hamjui mwenye njaa”
Na ilishasemwa: “Kila 'mlaji' ale kwa urefu wa kamba yake”
 
Ukimkuta masikini ananua gari la kutembelea halafu baadaye kidogo anakopa pesa ya kulipia watoto wake shule na kuwapelekea hospitali utamfikiriaje??
 
Wewe na ndugu zako walio masikini mngependa vipaumbele vyenu katika nchi viwe vipi?
 
Hata kifanyike nn maswali hayakosekani,ila kwa utashi wangu sioni swali lolote la msingi lililoulizwa hapa

Haya yote yasingefanyika at first place kama wasingeamua kuhama Dar So inabidi yafanyike kwa kodi izo izo tunazotoa

Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
FEDHA ZA WALIPAKODI.

ALAFU TUNAKATAZWA KUGUSA HATA GETI.

VIONGOZI Africa ni Wapvu sana
 
Nieleweshe tafadhali,hiyo complex ya watu 2000 inajengwa ikulu?
 
  1. Kujenga Njia ya Kuruka Ndege Ikulu. - Hii itapunguza pakubwa sana msongamano wa magari barabarani. Badala ya raia kusubiria viongozi wapite wakitokea Airport, StateHouse Airport itaokoa muda ambo ni pesa.
  2. Ujenzi wa Viwanja vya Golf. - Viongozi Waandamizi wa Kitaifa wanahitaji relaxation pia-Imagine kwa sasa kiongozi akihitaji kucheza mchezo wake pendwa hana pa kwenda labda Lugalo, na Lugalo iko Dar.
  3. Ujenzi wa Complex ya watu 2000-3000 - Hii ni Muhimu. Taasisi ya Urais inatekeleza majukumu Yake kwa vikao kila mara. Vikar hivi kufanyika jirani na Ofisi ya Rais ni jambo Muhimu linalookoa muda. Kwa nini kwa mfano Rais atoke Chamwino kwenda JK Convention kufanya Mkutano?? why wakati anaweza kukutana na wadau husika kwenye ukumbi wa Ikulu.
Kwa ufupi pendekezo la Mhe. Rais kuweka hiyo miundombinu ya ziada baada ya Ikulu kukamilika ni hatua Muhimu na yenye manufaa
 
Aiseee kumbe we naye huna akili
 
Shida Ni Kwamba huyo Marehemu Wenu Aliyeanzisha Huu Ujenzi Alikuwa Hawaambii Gharama Zinazotumika Kwa Hiyo Ikulu.Kwa Lugha Sahihi Hakuweka Wazi Mchakato Mzima Unavyokwenda.

Na Kwakua Ukabila Uliwajaa Mlikuwa Hamna Muda Wakuhoji Bali Kushangilia Tu.

Leo Mmepata Rais Anaweka Wazi Gharama Na Plan Nzima Ya Ujenzi Mnaanza Kupiga Kelele Kama Mashoga.

Ukabila Utawatafuna Sana Kenge Nyie.
Yaani Mnapiga Kelele kama Anajenga Nyumbani kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…