Ikulu mpya na maswali

Ndio maana twasema tukwepe kodi kadri tunavyoweza maana kodi zetu zinatumika kwenye mambo yasiyo ya msingi
Acha akina GSM na Manji wakwepe tu kodi. Na yeyote kwa nafasi yake acha akwepe tu kodi. Kama mambo yenyewe ndiyo haya.

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
 
Ndio maana twasema tukwepe kodi kadri tunavyoweza maana kodi zetu zinatumika kwenye mambo yasiyo ya msingi
Jambo ka msingi lipi ambalo wewe umelifanyia serikali yako?
 
hadi vifungashio vinaitwa mifuko ya maguful ila bado hawaridhiki
 
Usiposema samia complex utahalishaje upigaji wa fedha? Yaani hapo upigaji umehalishwa. Ni mwendo wa kula tu.

Huyu mama kwakweli anawaangusha sana wanawake wenzie kiuongozi.
Nadhani ni muda tumpate Rais asiye na jinsia maana Magufuli alingusha wanaume uyu kaangusha wanawake sasa tumpate asiye na jinsia ya kiume au ya kike nako tujaribu.
 
Ajira mkuu
 
Jambo
Ndio maana twasema tukwepe kodi kadri tunavyoweza maana kodi zetu zinatumika kwenye mambo yasiyo ya msingi
Jambo lipi ambalo silo la msingi limetumiwa kwa kodi zetu?
 
Chefuuuuuu
 
Arafu pesa ya kujengea vyoo vya shule mkaombe Kwa mabeberu;
 
Tunalina asali, wanalamba asali ndo tofauti yetu na wao. Ukiyafuatilia sana mambo ya walamba asali utaumia moyo bure.
 
Mama anarazimisha kuacha legacy; eti Samia complex;
 
Kifupi IKULU NI MBAYAAAA,ikulu inakosa amoled view 2023?! uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…