Ikulu: Makonda ni kijana muadilifu

Ikulu: Makonda ni kijana muadilifu

MAKONDA piga kazi mwana,kama ulichaguliwa kuwa kiongo wa vyuo vikuu vyote nchini,nini Ukuu wa wilaya.hayo ni maneno ya wezi wa magari wa Arusha.

Afadhali kuwa mwizi wa magari kuliko kuwa mwizi wa rasilimali za umma,escrow,richmond,gesi mtwara,epa,meremeta nk
 
ni kijana mchapakazi aliyeamua kuweka msimamo wake wazi na si kuwa mnafki....tusubirie ashindwe majukumu ndo tumlaumu
 
Naunga mkono hoja,kama vijana wenyewe ndio hawa jamii ya Mboni Mhita.
 
Ikulu Yenyewe Ni Sehemu Ya Uchafu.Ikulu Imemwalika Mshindi Wa Big Brother Mambo Yanayofanyika Kwenye Jumba Lile Ni Ngono Kwa Kwenda Mbele, Mateja Yamekanyaga Ikulu, Diamond Na Uhuni Wote Kaalikwa Ikulu Sasa Cha Ajabu Nini Ushangae Uteuzi Wa Makonda Au Wa Lucy Mayega Yule Mvaa Nguo Za Kikahaba? NASEMA IKULU NI KITOVU CHA UCHAFU.MWAKANI TUSIRUDIE MAKOSA TENA.Tushirikiane Kuwatoa Ikulu

Ni mwaka huu October mpwa!
 
Huwezi kuacha kuunga mkono kauli ya ikulu kwasababu wewe mwenyewe umekosa maadili kwa kujiwekea id na avatar ya kike wakati wewe ni dume ambalo sio riziki

Mimi nina mashaka na ufahamu wake, sijui kama anajua maana ya HOT LADY! Kama anaijua, basi kwa kujipa jina hilo ana walakini kubwa sana.
 
Ikulu yetu imegeuka kuwa kichaka cha kila uozo. Angalia umati wa watu ulioko pale Ikulu eti wasaidizi wa Mwenye Kaya!! Hivyo hakuna cha kushangaza kwa uteuzi huo. Mpaka hapo mafisadi wa ccm watakapoondolewa, ndipo Ikulu itakaporudisha heshima. Kwa sasa akina Makonda, Nyalandu wataendelea kutamba.
 
1:Mtu asiyefuata kanuni na taratibu za chama chake hawezi kufuata kanuni na sheria za mahali pa kazi.Wakati kimaadili na kikatiba ndani ya chama chake inakatazwa mtu kutoa tuhuma kwa kiongozi ndani ya chama bila kutumia vikao halali

2:Mtu aliyechafua Masheikh na Maaskofu na kuwaunganisha kwenye kundi la watu wavivu na matapeli wanaopenda hela za haraka hafai kuwa Mkuu wa Wilaya ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ambayo ufanisi wake unategemea ushirikishwaji wa makundi mbalimbali katika kulinda amani wakiwepo viongozi wa Dini

3:Kitendo cha kuungana na vijana wa chama chake kumletea vurugu mzee Warioba,kiongozi mwenye historia iliyotukuka ndani na nje ya Tanzania ni utovu wa maadili na inajenga picha mbaya kabisa kwa watu wa kada tofauti

Zingatia,Sababu nyingine ya msingi zaidi kwa kuwa ukuu wa Wilaya au Mkoa ni mfumo unaopingwa sana basi hata yeye tu kuteuliwa kuwa DC moja kwa moja hapaswi kuwa DC kwa sababu huo mfumo hatuutaki kabisa.

Mfumo wa U-DC hautakiwi so pia Hafai kuwa DC

Upo Smart MKUU,
 
Ikulu Yenyewe Ni Sehemu Ya Uchafu.Ikulu Imemwalika Mshindi Wa Big Brother Mambo Yanayofanyika Kwenye Jumba Lile Ni Ngono Kwa Kwenda Mbele, Mateja Yamekanyaga Ikulu, Diamond Na Uhuni Wote Kaalikwa Ikulu Sasa Cha Ajabu Nini Ushangae Uteuzi Wa Makonda Au Wa Lucy Mayega Yule Mvaa Nguo Za Kikahaba? NASEMA IKULU NI KITOVU CHA UCHAFU.MWAKANI TUSIRUDIE MAKOSA TENA.Tushirikiane Kuwatoa Ikulu

Uhuni wa Diamond ni upi? ushindi anaoupata nje ya nchi nao uhuni? embu jibu tuendelee hapa sio kuchafua tu watu. eti muhuni..kazi yake hauioni?
 
Tunasubiri WEMA SEPETU naye ateuliwe kuwa DC kwani ana vinasaba vya kingono na mnene mmoja wa hapo magogoni kama tulivyoelezwa wakati ule akinyang'anywa gari na ile ofisi.
 
ni kijana mchapakazi aliyeamua kuweka msimamo wake wazi na si kuwa mnafki....tusubirie ashindwe majukumu ndo tumlaumu

Ndugu hivi kiuhalisia kuna mtu ambae anaweza kumsikiliza Makonda na kutekeleza yale atakayokuwa anayaagiza? watanzania wengi wanamjua vizuri na wamemdharau na wataendelea kumdharau na hata uteuzi wake umeidhalilisha hiyo taasisi iliyomteua na kuonyesha wazi chini ya utawala huu wa awamu ya nne taasisi hiyo imekuwa dhaifu zaidi ya dhaifu.
 
Uhuni wa Diamond ni upi? ushindi anaoupata nje ya nchi nao uhuni? embu jibu tuendelee hapa sio kuchafua tu watu. eti muhuni..kazi yake hauioni?

Hv Kuwachezea Wasichana Huo Siyo Uhuni? Dini Yako Inaruhusu Kufanya Mambo Anayoyafanya Huyo Daimond Wako? Haya Huyo Mshindi Wa Big Brother Unajua Mambo Yanayofanyika Humo Ndani Ya Kufanya Ngono Na Kuoga Pamoja Kwa Jinsia Mbili Tofauti Huku Zikioneshwa Live? Sasa Mshindi Anapopatikana Ukamwalika Ikulu Tafsri Yake Ni Nini? Hata Maadili Ya Kitanzania Hayaruhusu Kabisa Mambo Hayo.Sasa Unataka Watoto Wajikite Zaidi Kwenye Big Broth.
 
Back
Top Bottom