Ikulu: Makonda ni kijana muadilifu

Ikulu: Makonda ni kijana muadilifu

Ikulu Yenyewe Ni Sehemu Ya Uchafu.Ikulu Imemwalika Mshindi Wa Big Brother Mambo Yanayofanyika Kwenye Jumba Lile Ni Ngono Kwa Kwenda Mbele, Mateja Yamekanyaga Ikulu, Diamond Na Uhuni Wote Kaalikwa Ikulu Sasa Cha Ajabu Nini Ushangae Uteuzi Wa Makonda Au Wa Lucy Mayega Yule Mvaa Nguo Za Kikahaba? NASEMA IKULU NI KITOVU CHA UCHAFU.MWAKANI TUSIRUDIE MAKOSA TENA.Tushirikiane Kuwatoa Ikulu

Mwaka huu, October mkuu.
 
Tafsiri ya uadilifu kwa ikulu inajulikana maana ni huo uadilifu wa ikulu ndiyo uliofanya sehemu kubwa ya pesa ya Escrow iende ikulu.
 
....wa ikulu wenyewe wangekuwa waadilifu ningeamini,ila kwa ikulu yetu hata waje na madodoki ya chuma,ni uchafu mtupu....
True Kwa viwango vya sasa vya ikulu yetu makonda anafunika
 
Ukoo wa panya kuanzia ikulu halafu utegemee maadili. Hawa si ndio walionyofoa masharti ya maadili kwenye katiba inayopendekezwa?
 
Jamani ikulu jalala pana, wanaenda waadilifu iwapo wananchi ni waaadilifu. Kilichopo ikulu leo ndo watz tulivyo
 
Ikulu imekejeli kauli zinazotolewa kwa lengo la kupinga vigezo vya uteuzi wa Paul Makonda kuwa mkuu wa wilaya,kauli hizo ni zile zinazodai kuwa Makonda amekosa maadili na pia hana nidhamu na badala yake Ikulu imedai kuwa Makonda ni kijana muadilifu.

CHANZO:Mtanzania

Ikulu haija kejeli bali imesema ukweli
 
MAKONDA piga kazi mwana,kama ulichaguliwa kuwa kiongo wa vyuo vikuu vyote nchini,nini Ukuu wa wilaya.hayo ni maneno ya wezi wa magari wa Arusha.
haa haa na wewe anza kumlamba viatu huenda nawe ukapewa hata cheo cha kufagia ofisi yake huyo makonda wako! Kiukweli makonda kabebwa hakustahili kupewa hicho cheo.
 
Hahahaha kama uteuzi wa wakuu wa wilaya unazingatia wanawake waliojazia'sishangaii ya makonda
 
IKULU YENYEWE NI KITOVU CHA UCHAFU HUO UNATEGEMEA WASEME NINI?Angalia Lisiti Walioalikwa Kwenda Ikulu Mateja Wa Madawa Ya Kulevya,malaya Na Machangudoa Kibao Mwingine Kateuliwa Kuwa Dc Akatete Machangudoa Wenzake,sasa Unashangaa Nini Kwa Makonda Aliyempiga Warioba?
True wengine fumeshakuwa mabubu. Ikulu Ya Nyerere si Ya leo baba lakini kiwango cha kufikiri cha watanzania ndo majanga tunayoyaona. Watz wote mazombi. Imefika wakati tuuombe umoja wa mataifa wawapatie uraia watanzania wote sayari yao make utamaduni huu hauendani na wakazi wa dunia hii.
 
kama ikulu yenyewe, bado inasema kuwa huyu kijana ni muadilifu, basi waadilifu wameisha ndani ya chama na serikali.
 
Ikulu inasema Inakanusha pia Mboni Mhita hana makalio makubwa.

Na kwamba u dc wake haukutokana na kuwa na makalio bali ni mvuto wa DC mwenyewe.

Hii ndio lkulu yetu, yasiyo na umuhimu hukanushwa haraka
haa haa, usishangae kesho ikulu ikamsafisha chenge na ngeleja na kusema ni watu waadilifu sana! Ikulu tulikuwa nayo zamani sio sasa!
 
kama ikulu yenyewe, bado inasema kuwa huyu kijana ni muadilifu, basi waadilifu wameisha ndani ya chama na serikali.
tatizo ccm maslai ndo wamejazana ikulu toka mfagizi mpaka msemaji wa ikulu. Mbaya zaidi mabosi wao wengi ni ccm mtandao. Ccm imani na ccm asili wamekaa pembeni wakisikitika badala ya kuchukua hatua!
 
Back
Top Bottom