Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,797
- 165,542
Ikulu imekejeli kauli zinazotolewa kwa lengo la kupinga vigezo vya uteuzi wa Paul Makonda kuwa mkuu wa wilaya,kauli hizo ni zile zinazodai kuwa Makonda amekosa maadili na pia hana nidhamu na badala yake Ikulu imedai kuwa Makonda ni kijana muadilifu.
Kauli hiyo imetolewa na Salva Rweyemamu wa Ikulu katika mahojiano na Mtanzania.Salva anasema Makonda ni kijana mzuri anaefaa kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya.
CHANZO:Mtanzania
Kauli hiyo imetolewa na Salva Rweyemamu wa Ikulu katika mahojiano na Mtanzania.Salva anasema Makonda ni kijana mzuri anaefaa kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya.
CHANZO:Mtanzania