Ikulu: Makonda ni kijana muadilifu

Ikulu: Makonda ni kijana muadilifu

Ikulu imekejeli kauli zinazotolewa kwa lengo la kupinga vigezo vya uteuzi wa Paul Makonda kuwa mkuu wa wilaya,kauli hizo ni zile zinazodai kuwa Makonda amekosa maadili na pia hana nidhamu na badala yake Ikulu imedai kuwa Makonda ni kijana muadilifu.

CHANZO:Mtanzania

Ha ha haaa
 

Attachments

  • 1424586457207.jpg
    1424586457207.jpg
    41.7 KB · Views: 306
Yale masandarusi ya hela yalielekea ikulu.Makonda muadilifu kama wapangaji wa ikulu
 
Ikulu imekejeli kauli zinazotolewa kwa lengo la kupinga vigezo vya uteuzi wa Paul Makonda kuwa mkuu wa wilaya,kauli hizo ni zile zinazodai kuwa Makonda amekosa maadili na pia hana nidhamu na badala yake Ikulu imedai kuwa Makonda ni kijana muadilifu.

CHANZO:Mtanzania

Kama kweli hayo maneno ya Ikulu it is not a tongue in cheek, kwamba Paul Makonda ni kijana muadilifu. Basi huko CCM kuna matatizo makubwa ya viongozi kuliko tunavyofikiri.

With all CCM zealots, Makonda ndiyo anaonekama muadilifu? Give me a break dude (Kurugenzi ya mawasiliano ya Ikulu)
 
Haishangazi watu wa mjengoni kusema hivyo ndio maana wana 14% ya wanaoongoza kwa Rushwa.
 
Ikulu imekejeli kauli zinazotolewa kwa lengo la kupinga vigezo vya uteuzi wa Paul Makonda kuwa mkuu wa wilaya,kauli hizo ni zile zinazodai kuwa Makonda amekosa maadili na pia hana nidhamu na badala yake Ikulu imedai kuwa Makonda ni kijana muadilifu.

CHANZO:Mtanzania

this is stupid

Ikulu inahangaika na makonda, na hakuna aliyezungumzia kuua albino???

Oh My God
 
Ccm inaenda kuanguka kwa sababu viongozi wake hawana maadili.
 
Yule wa Mfindi uteuzi wake umeniacha hoooooi maana lol. Sasa nimeamini hivi vyeo huwa ni zawadi kwa mademu zetu na vibaraka wetu
 
waliopo ikulu wenyewe ni afadhali ya makonda sasa unategemea nini?
 
Kwani Ikulu imeainisha ati Uadilifu wa Paulo Makonda ni nini?
 
Nani alitegemea kauli tofauti toka huko ikulu.......nyie mnasema sio muadilifu wakati kamfunga mwana wa mfalme kamba ya viatu,munataka uadilifu gani zaidi ya huo Ndani ya CCM?
 
Watanzania tuna mengi yanayotuumiza moyoni.Ila siku moja tutazishika bunduki.
 
MAKONDA piga kazi mwana,kama ulichaguliwa kuwa kiongo wa vyuo vikuu vyote nchini,nini Ukuu wa wilaya.hayo ni maneno ya wezi wa magari wa Arusha.
 
Makonda chapa kazi kiboko ya mafisadi watakujua tu hakuna kucheka na mafisadi mwaka huu tumechoshwa na hawa wandishi malimbukeni ziba masikio fanya kazi.
We si ndo alikupiga makofi (kwa mujibu wa avatar yako ) leo unamshabikia au mulikuwa munafanya bongo movie yenu????????
 
Back
Top Bottom