Ikulu: Makonda ni kijana muadilifu

Ikulu: Makonda ni kijana muadilifu

kama ikulu yenyewe, bado inasema kuwa huyu kijana ni muadilifu, basi waadilifu wameisha ndani ya chama na serikali.
tatizo pale ikulu wengi ni ccm maslahi, toka mfagizi mpaka msemaji wao, mbaya zaidi bosi wao ni ccm mtandao, na sio ccm imani au ccm asili.
 
Makonda usijibu hata neno moja wewe sasa ni mhe mkubwa sana wivu wao tu
haa haa naona harufu ya assumpta mshama hapa, maana aliwahi sema escrow ni mpango wa wapinzani! Mbona watu humu jf hawakumwonea wivu nape? Huyo makonda wako ana nini cha ziada?
 
Mnajua mnaudhi watu humu ndani?! Ikulu iliondoka na mwalimu sasa hivi lile jumba jeupe limekuwa pango la wezi, wanyang'anyi, makahaba na uchafu mwingine mnaoufahamu! Itatuchukua muda sana kurudisha hadhi ya lile jengo! Wote wanaotoka kwenye hilo jumba hakuna mdafi hata mmoja kwa hiyo ni vigumu sana kwao kuweza kumjua mtu asiye mwadilifu! TUSHIRIKIANE KULISAFISHA!!
 
ikulu ata kama awajui kufanya vetting, ina maana hata picha hamuoni? uwadilifu wa makonda kumpiga mzee walioba? ikulu imekuwa kama club, inachaguwa wakuu wa wiliya Wenye makalio Makubwa tu?.....na wapinga Lowassa?....
 
Pole venting hakuna tena siku hizi acha aliowataja hata wauza unga wanaingia tu.

Ikulu Yenyewe Ni Sehemu Ya Uchafu.Ikulu Imemwalika Mshindi Wa Big Brother Mambo Yanayofanyika Kwenye Jumba Lile Ni Ngono Kwa Kwenda Mbele, Mateja Yamekanyaga Ikulu, Diamond Na Uhuni Wote Kaalikwa Ikulu Sasa Cha Ajabu Nini Ushangae Uteuzi Wa Makonda Au Wa Lucy Mayega Yule Mvaa Nguo Za Kikahaba? NASEMA IKULU NI KITOVU CHA UCHAFU.MWAKANI TUSIRUDIE MAKOSA TENA.Tushirikiane Kuwatoa Ikulu
 
ikulu ata kama awajui kufanya vetting, ina maana hata picha hamuoni? uwadilifu wa makonda kumpiga mzee walioba? ikulu imekuwa kama club, inachaguwa wakuu wa wiliya Wenye makalio Makubwa tu?.....na wapinga Lowassa?....
yote hayo ni sababu ya jk kuhamishia urafiki kwenye kazi ya umma!
 
Mie naona watu tunazunguka mbuyu tuu. Kwa kauli mbofu mbofu zinazotolewa na Ikulu kwa kipindi kirefu sasa na ambazo nyingi zimeiaibisha ile ofisi yetu kuu, wakati umefika sasa wa kumkamata kwa nguvu Salva Rweyemamu na kumpeleka hospitali kumpima afya ya akili kuona kama iko sawa.
Kuvaa suti na tai sio tiketi ya utimamu bali maneno na matendo ndio kipimo, na kwake tumepata mashaka.
 
Makonda mtu safii sana! we ufanani ata kidogo na jambazi la Arusha
 
hivi ni huyu aliyetaka kumlipua mamake kwa risasi?Samahani kama siye lakini penye ukweli uongo utadhiri tu
 
Hiyo nifadhira kwa kua kuwadi mzuri wa madem na kilicho mbeba makonda ni kumletea bos wake dem mkali cheni maguu yote dc!! hiyo sio ikulu ni izuru!!
 
Ben mimi naamini wewe ni kati ya watu makini hapa jamvini hebu nipe sababu tatu za msingi na isiwe majungu ya kisiasa zinazoeleza kwa nini makonda hafai kuwa DC

Angalia hii picha ndio utajua kuwa makonda hanasifa ya kuwa kiongozi
 
Ben kwa hili LA makonda Leo nakuunga mkono japo kiitikadi Tupo tofauti.

Makonda hafai hata ubalozi Wa nyumba kumi

Kwa mara ya kwanza mmarangu leo umeungana na watanzania kutetea ukweli,hongera sana kwa hilo.
 
Hiyo nifadhira kwa kua kuwadi mzuri wa madem na kilicho mbeba makonda ni kumletea bos wake dem mkali cheni maguu yote dc!! hiyo sio ikulu ni izuru!!
haa haa jk anagawa vyeo kama njugu, mpaka kwa wahuni na machangu! Ccm imani wanasikitika sana kwa hili.
 
Back
Top Bottom