Ikulu: Makonda ni kijana muadilifu

Ikulu: Makonda ni kijana muadilifu

Hv Kuwachezea Wasichana Huo Siyo Uhuni? Dini Yako Inaruhusu Kufanya Mambo Anayoyafanya Huyo Daimond Wako? Haya Huyo Mshindi Wa Big Brother Unajua Mambo Yanayofanyika Humo Ndani Ya Kufanya Ngono Na Kuoga Pamoja Kwa Jinsia Mbili Tofauti Huku Zikioneshwa Live? Sasa Mshindi Anapopatikana Ukamwalika Ikulu Tafsri Yake Ni Nini? Hata Maadili Ya Kitanzania Hayaruhusu Kabisa Mambo Hayo.Sasa Unataka Watoto Wajikite Zaidi Kwenye Big Broth.

Hauna point kusema muhuni, kuwa na gf ni uhuni? Basi anza kuhesabu wanaume wangapi wamelala na wangapi hata hao viongozi wanaomuita.

Kama wewe mwanaume basi lazima haujalala na mtu au umelala na mmoja tu ndio unaandika haya. Au hata wakaribu yako pia. Na ndio unatolea mfano kuita yeye hivi

Kama unamchukia msanii bora kupita ila sio kutaka kuchafua.

Huyo msanii Chibu hata akitaka 100 kwa siku atapata. Muacheni mtoto wa Tandale ajivunie kwa kazi yake na ubidii anaouweka.
 
Tabia za Makonda ni tabia za JK,ndege wanaofanana huruka pamoja. Akili ya makonda haina tofauti na akili ya Kikwete.
Ikulu imejaa genge la wahuni wasio na chembe ya uadilifu unategemea JK amteue Kangi Lugola au Ester Bulaya?
 
Back
Top Bottom