Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,897
- 11,292
Taarifa ya hasira ya Salva Rweyemamu kwa sisi Wa TZ
""Kama Dkt. Slaa anataka kweli kujua wamiliki wa Kampuni ya Dowans, basi atafute ukweli huo;Mheshimiwa Rais Kikwete hahusiki na Kampuni ya Dowans wala na kampuni nyingine yoyote ya kibiashara"".
Tunamshukuru sana Dr Slaa kututajia kuwa JK ndiye mmiliki wa Dowans atakayelipwa zaidi ya bilion 185 hela zetu sisi walipa kodi;Kama Salva na wenzako mnajua kuwa mmiliki wa Dowans sio JK basi ndiyo nafasi yenu nzuri kututajia majina ya wamiliki hao ili JK awe huru kutoka kwenye kashfa hii!Kwa nn CCM na serikali yake inakuwa bubu kutaja tu mmiliki wa kampuni hewa ya Dowans?
By the way;Mlio karibu na Salva na kwa aina yake hii ya uandishi usio na ethics;huyu Salva huwa anavuta bangi?