IKULU: Kikwete si mmiliki DOWANS!

IKULU: Kikwete si mmiliki DOWANS!

Hivi huwa kazi yake, kikatiba, ni nini? Kuna wakati anatoa amri Kama amiri jeshi mkuu!
Mkuu ulitaka afanyeje kama aliepaswa kutoa amri hizo kashindwa! Msimuonee tuu huyu jamaa Unga bwana na muhimu kwa watoto wake. na kwani yeye anapenda kufa???
 
Huyu jamaa huwa kila nikimuona kwenye tv huwa najisikia kichefuchefu maana hana la maana ambalo huwa anaongea zaidi ya pumba.
 
kama dowans feki....basi bunge letu nalo litakuwa feki kama dowans walipwa
 
Huu ndio usomi wetu! Kwa majibu haya, kweli common sense is not so common.
 
Back
Top Bottom