HaaaaaaaVaa barakoa bwashee usingoje kuambiwa na Dr Gwajima!
HaaaaaaaVaa barakoa bwashee usingoje kuambiwa na Dr Gwajima!
SG ni shida aisee ,hivi tufanyeje hawa watu ?SUKUMA GANG mnaonekana kupata shida kwenye kila afanyalo SSH, leo hii mmesahau kuwa mwendazake alikuwa hata akila mahindi barabarani tunaonyewsha, hata akipewa kuku kama mahari ya mama yake mlikuwa mnatuonyesha, akienda kusali mnatuonyesha?
Kwa kweli marehemu aliwadharau sana Watanzania.Tena alikuwa anataka afanye ufunguzi hata wa kisima cha maji, anapiga push ups nayo inakuwa habari.
Alikuwa anatembea na maburungutu ya fedha kama papaa, anakula kijiweni nayo habari, Mara ananunua mapapai nayo inakuwa habari.
So heri mama anafanya Mambo ya maana sio kupiga push ups na kutafuna mahindi na kununua kuku barabarani.
Alichokuwa anafanya Jiwe ni kile ambacho alikuwa akikiamini hata yeye mwenyewe na alifanya kwa manufaa ya wananchi wake hakutaka kulishughulikia hili jambo kwa ajiri tu ya kuwaridhisha wazungu kama ambavyo sasa kunafanyika, ukiangalia serikali wenyewe hawaamini hata huko katika kuvaa barakoa ila wanafanya ili tu kuwaridhisha wazungu ili tupate misaada. Kwahiyo katika hili kiuhalisia bado tunaishi katika misimamo ya Magufuli ila tu kwa kuwa tunataka hela za wazungu hivyo lazima tujioneshe kuwa tupo pamoja.Kinachokuuma ni nini ,wakati mlipokuwa mnahimiza tiba za zama wa kale za mawe mbona tulikaa kimya ?acheni sindano iwangie pande zote za mwili .Mama piga mzigo ,tuko na wewe
Hayo mabarakoa yao wasije tulazimisha na raia tuvae kwa lazima, ameshaua uchumi wa utalii na biashara kwa kulazimisha all foreigners quarantine kwa 14 days, sasa asitulazimishe na mabarakoa yake.
Mimi sio "mkuu"... mimi ni babuHebu nieleweshe hili, alifanyaje mkuu
We ni matako Sana Una hasira za kutoteuliwa nyanteleHayo mabarakoa yao wasije tulazimisha na raia tuvae kwa lazima, ameshaua uchumi wa utalii na biashara kwa kulazimisha all foreigners quarantine kwa 14 days, sasa asitulazimishe na mabarakoa yake.
Jibu swaliMimi sio "mkuu"... mimi ni babu