IKULU, Dar: Rais Samia Suluhu apokea hati za Mabalozi

SUKUMA GANG mnaonekana kupata shida kwenye kila afanyalo SSH, leo hii mmesahau kuwa mwendazake alikuwa hata akila mahindi barabarani tunaonyewsha, hata akipewa kuku kama mahari ya mama yake mlikuwa mnatuonyesha, akienda kusali mnatuonyesha?
Mi nadhan mnajaribu kuchomoka ukabila bila sababu yoyote..Ni upumbav mawazo ya mtu binafsi mnayafananisha na kabila fulani..au ndio wale mnalipiziana ukabila kwa ukabila..chagadomo kwa sukum...shauri yenu mtajijua...ila mkome kufanya hizi issue ziwe za kitaifa
 
Wapenzi wa jiwe sasa ndio wapinzani wa Samia.

Maisha yako kasi sana.
Kivipi embu eleza sababu...au mnahisi JPM na mama walikuwa na tofauti yoyote....? Wangekuwa tofauti JPM asingeendelea nae katika vipindi vyote. Wale wote ambao alitofautiana nao hakuweza kukaa nao na wengine walikimbilia upinzani na wengine walitoroka nchi...sasa wewe usidhan wananchi wajinga hatuelewi yanayoendelea...ukome kupandikiza chuki..Wala hamtafanikiwa
 
Tena alikuwa anataka afanye ufunguzi hata wa kisima cha maji, anapiga push ups nayo inakuwa habari.

Alikuwa anatembea na maburungutu ya fedha kama papaa, anakula kijiweni nayo habari, Mara ananunua mapapai nayo inakuwa habari.

So heri mama anafanya Mambo ya maana sio kupiga push ups na kutafuna mahindi na kununua kuku barabarani.
Anaokota vichwa vya treni bandarini... hahahah eti havina mwenyewe wakati vina nembo ya TRL... Meko alikuwa fala sana wallah
 
Anaokota vichwa vya treni bandarini... hahahah eti havina mwenyewe wakati vina nembo ya TRL... Meko alikuwa fala sana wallah
Aliwakota wajinga sana halafu Hana hata aibu kwamba kuna watu wanamuangalia wanamshangaa hapo ndio nilikuwa najiuliza huyu jamaa hivi no mzima kweli?

Sema alijua majority ya wabongo hawana elimu akaamua kucheza na hao majority ambao mpaka leo hawajielewi.

Unaokotaje vichwa vya treni, au anasema makontena 10,000 yameibiwa bandarini, kwa asiyeijua bandari na process za kutoa mzigo anaweza akaamini kwamba kulikuwa kuna wizi wa kontena linatoka kumbe watu walikuwa wanapiga white collar crime. Kontena lipo tu Ila mzigo unatoka lakini unapotea kwenye system ya Kodi TRA. Yeye akaibuka tu ashki majinuni.
 
Kivipi embu eleza sababu...au mnahisi JPM na mama walikuwa na tofauti yoyote....? Wangekuwa tofauti JPM asingeendelea nae katika vipindi vyote. Wale wote ambao alitofautiana nao hakuweza kukaa nao na wengine walikimbilia upinzani na wengine walitoroka nchi...sasa wewe usidhan wananchi wajinga hatuelewi yanayoendelea...ukome kupandikiza chuki..Wala hamtafanikiwa
Barakoa imekaa kama ziwa 1 la mwanamke lililokatwa-Shujaa.
 
Back
Top Bottom