Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na kufanya mazunguzmo na Tony Blair

Sasa amemvulia kofia kwa lipi hasa? Alafu kukutana na Blair kunalipi lamno maana nimstaafu tu Hugo!!' Msisifu kishamba Blair hana maajabu yeye akutane na wapinzani asikwepe jukumu hilo nahilo in ili kuitibu nchi
Wapinzani gani akutane nao? Hawa wanaomtukana mitandaoni? Hawa wasio na subira wanaotaka kumpangia lini wakutane naye wakati wao ndiyo wameomba kikao? Hawa wanaoambiwa msifanye kongamano kwa sasa wao wanajibu kwa jeuri lazima wafanye kongamano? Kuwa serious
 
Kamvulia kofia kwa kuongeza tozo na kufanya maisha kuwa magumu?
 
Kamvulia kofia kwa lipi .... Au uaclip nyingine zaidi ya hiyo!!?

Kuhusu kutengeneza Vaccine Tanzania, hilo waachane nalo maana watatupotezea tu pesa zetu. Bora hiyo pesa wanunue vitanda vya wagonjwa!!
 
Hujakutwa.!! Mwombe Mungu akuweke hai uje ushuhudie ukuu wa Mungu ukiangamiza hizo kizazi cha dhuluma unachoshabikia.
 
Kamvulia kofia kwa lipi .... Au uaclip nyingine zaidi ya hiyo!!?

Kuhusu kutengeneza Vaccine Tanzania, hilo waachane nalo maana watatupotezea tu pesa zetu. Bora hiyo pesa wanunue vitanda vya wagonjwa!!
Kofia yenyewe hajavaa!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
I always had a suspicion we inherited a globalist,today I confirmed it...Yani hii Blair Institute duh!sijui nianze wapi...tujiandae tu!
 
Sema waipenda burundi.
 
Bonge la response kutoka kwa mama Samia. This is a powerful presidential response na ndivyo Rais wa nchi ya Tanzania anavyopaswa kuwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…