Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
Tuliahidiwa kuwa bei ya Cement itafika 8,000/= kiwanda cha Dangote kikianza kazi. Sasa kimesha anza nahitaji mifuko 60 kuanza ujenzi nimezunguka maduka kadhaa bei ni 12,000-13,500. Sasa mimi natafuta ile ya buku 8. Nitaipata wapi?