Iko wapi Cement ya 8,000/=? Nataka nianze ujenzi

Iko wapi Cement ya 8,000/=? Nataka nianze ujenzi

Subiri viwanda tulivyo ahidiwa vitakuepo na vya cement itafikia bei hiyo.Tanzania ya viwanda yaja
 
Wasakwe wanaoficha sementi ni wahujumu uchumi! Aaah, natania mjomba.Lakini waliahidi kumbuka na hatukuwaomba waahidi??!!
 
Tuliahidiwa kuwa bei ya Cement itafika 8,000/= kiwanda cha Dangote kikianza kazi. Sasa kimesha anza nahitaji mifuko 60 kuanza ujenzi nimezunguka maduka kadhaa bei ni 12,000-13,500. Sasa mimi natafuta ile ya buku 8. Nitaipata wapi?
 
Ilikuja lucky cment kwa bei ndogo sana serkal ikaipiga marufuku in favour of dangote.
 
Back
Top Bottom