bily
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 8,029
- 5,815
Niliwahi kuwaambia watu humu kuwa sukari kamwe haitogawiwa bure wale wa upande ule wakatukana , Kikwete akadanganya raia eti cement itakua 8000 jamani Ata Kama elimu ya uchumi haipo hiyo bei haiwezekani hadi serikali ipunguze kodi ya uzalishaji.
Ushauri wangu mtoa mada jichange asee , siasa imefanya mpaka sasa Tanzania haina ndege ya umma huku wafanyakazi wakiwa mamia bado tunatumbua majipu au tunadanganya .?
Ushauri wangu mtoa mada jichange asee , siasa imefanya mpaka sasa Tanzania haina ndege ya umma huku wafanyakazi wakiwa mamia bado tunatumbua majipu au tunadanganya .?