Salaam!
Yaliyotokea October 29,ujasiri ule wa wananchi kutoka kudai haki siku ya uchaguzi,inasemekana ilichangiwa na roho ya uzalendo aliyoipanda hayati Magufuli.
Sasa tunaelekea March 17 siku tuliyotangaziwa kifo Cha Magu, na ukizingatia akiba ya dhahabu mzalendo Magu aliyoitunza benki kuu Ili kuifanya nchi yetu kuwa donor county, dhahabu hiyo, wahuni wanapanga kupiga bei wagawane.
Unaona Nini mbeleni?
Karibuni!