"Ikimegwa haifanyi alama"

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Habari zenu Wana Jf

Hayo maneno (Ikimegwa haifanyi alama) nimepewa na mpenzi wangu ambaye nimemgaramikia kwa mambo mengi

na nilikuwa na mipango mingi sana juu yake.

Baada ya kumwambia asivae nguo za mitego wakati akienda kazini, na alipobaini kuwa namfatilia, ndipo akakasirika

na kuniambia kuwa hapendi kufatiliwa, na nisijisumbue kwa sababu hata akimegwa, ile mashine yake haiwezi

kuwa na alama yoyote, kwa hiyo hakuna haja ya kupata pressure bure, nimehuzunika na kusikitishwa sana na kauli

hii cause mpaka sasa hivi nimemgaramikia sana huyu mtu. Sina hamu na maisha, sasa hivi ninatafakari mambo mengi sana
 
boflo huna haja ya kufa kwa mawazo.Sio vizuri kumfuatilia sana mtu,kuhusu mavazi unaposema ya mitego una maanisha nini?maana kuna mtu ana jishepu hata akivaa buibui watu watategeka.Wadada wa dunia ya leo usitegemee atavaa kama muumin wa kanisa la mashahidi wa jehova labda kama anavaa za kuonesha tumbo,kitovu,maziwa kiuno lkn kama ni hivi visuti vya kubana bana na vimin vya wastan muache au mshawishi avae unavyotaka pole pole mwishon atakuelewa.
Hiyo ya kutoacha alama nadhan anamaanisha kuwa hata umfuatilie vipi kama anataka kukucheat atakucheat na hutajua hivyo unajisumbua kumfuatilia na yeye hapendi.
 
Hhmmmm. . .

@Boflo . . kwani we ulitaka iwe inaacha alama?
Mwache atumie naniii yake apendavyo. . .kwani umeilipia mahari?

Yaani mngejua jinsi mnavotupa shida hapa duniani..

Sijui tufanye nini?
 
Back
Top Bottom