Ijumaa ya Leo wapi?

Ijumaa ya Leo wapi?

Heee.. vivian umefufukia wapi
??!

Inasemekana wewe ndio mimi you have two IDs one vivian and another Mentor.

Anyway nimeona unaaga kwenda Moshi. Bado hujaondoka Dadiito.

Mimi nipo kama hivi Ijumaa kama kawa.
 
Last edited by a moderator:
mitaa ya home kwa parents hiyo Madame B, nyuma ya by night bar! lol, karibu kwa parents siku moja!

Jamani Mamito cacico,
Nyuma ya Tgt by Night pale kwa akina Mike baunsa?
Nitakuja jamani siku moja kukuona.
Maana bar yangu kubwa ni Zero.
 
Last edited by a moderator:
mambo gani hayo ya kututamanisha wenzenu hizo nyama zimenona af tumeclose hadi nakumbuka enzi zile.
 
Back
Top Bottom