Ijumaa ya Leo wapi?

Inasemekana wewe ndio mimi you have two IDs one vivian and another Mentor.

Anyway nimeona unaaga kwenda Moshi. Bado hujaondoka Dadiito.

Mimi nipo kama hivi Ijumaa kama kawa.
Sijarudi...ila duh..those days ilikuwa mtu mmoja siku hizi umejitenga nami kabisa...na mm nkaona nipate mwingine wa ubani.
 




Another Beautiful Friday. Anyone with an Idea of Places to Visit?





vivian mbona watutamanisha hivyo wallah mi nakatiza dozi week end hii inipite tena hivihivi? nyama choma imetulia kwa kachumbariii na tundizi.. na tuJB mambo inakuwa mswano
 
Back
Top Bottom