Ijumaa ya Leo: Pokeeni faraja hii

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,632
697,796
Yaliyosazwa na tunutu yameliwa na nzige, yaliyosazwa na nzige yameliwa na parare na yaliyosazwa na parare yameliwa na madumadu yoel 1:4.

Kazi ya tunutu ni kula matunda akimaliza matunda huondoka, kazi ya nzige ni kula majani furaha yake auache mti hauna jani na mkame, kazi ya parare hula magome ya miti furaha yake auchune ubaki kama hauna nguo uwe uchi kabisa na kazi ya madumadu yeye hula gogo hadi kwenye shina.

Yawezekana miaka yako ya uhai imeliwa lakini nina habari njema mizizi yako bado i hai na kutokea huko utachipuka tena, naye Bwana atakurejeshea miaka yako kwa kwanza na kukutibu tangu kwa madumadu, parare, nzige na tunutu.

Mti wako utakuwa wa kusitawi sana na yale matunda 9 ya galatia 5 yataonekana kwako na karama 9 za 1wakoritho 12 zitaonekana utakua kama mpera wa kuning'iniza matunda haya mazuri.

Nawatakia siku njema na weekend ya baraka.
Jr future pastor
 
Wale hata shetani amewashinda, shetani anawaogopa
giphy.gif
 
Uchawi wewe,uganga wewe,siasa wewe,ushushushu wewe, na sasa uchungaji. Kabla ya kuwa Mchungaji. Hiyo mengine umeyaacha?
 
Yaliyosazwa na tunutu yameliwa na nzige, yaliyosazwa na nzige yameliwa na parare na yaliyosazwa na parare yameliwa na madumadu yoel 1:4.

Kazi ya tunutu ni kula matunda akimaliza matunda huondoka, kazi ya nzige ni kula majani furaha yake auache mti hauna jani na mkame, kazi ya parare hula magome ya miti furaha yake auchune ubaki kama hauna nguo uwe uchi kabisa na kazi ya madumadu yeye hula gogo hadi kwenye shina.

Yawezekana miaka yako ya uhai imeliwa lakini nina habari njema mizizi yako bado i hai na kutokea huko utachipuka tena, naye Bwana atakurejeshea miaka yako kwa kwanza na kukutibu tangu kwa madumadu, parare, nzige na tunutu.

Mti wako utakuwa wa kusitawi sana na yale matunda 9 ya galatia 5 yataonekana kwako na karama 9 za 1wakoritho 12 zitaonekana utakua kama mpera wa kuning'iniza matunda haya mazuri.

Nawatakia siku njema na weekend ya baraka.
Jr future pastor
Na iwe kwangu kama ulivyoandika, Amina.
 
Back
Top Bottom