Ijumaa Njema Jamani

Ijumaa Njema Jamani

na mimi niko kwenye mikono salama!!!!!!!!!!!

naomba unihakikishie usalama wangu babe

Usalama upo lakini acha kugonganisha magari. Ukiwa kwenye uhusiano inabidi umhofie Mungu. Hata max zako inabidi uwaambie upo na mzee figganigga usiwaonee haya. Kumbuka tumetoka mbali. Mia
 
we kaka nawe, mkeo asipo tongozwa unalalamika umeoa mke mbaya na akitongozwa unalia eti ni kiluka njia.... Heaven on earth wala hatembei nao kwa taarifa yako huwa anawadanganyaga tu

Nimekuelewa. Samahani kwa kukukwaza babe wangu, asali wa moyo Heaven on earth. Mia
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
tatizo lako wewe unashinda zero pub na chawote. Asprin anakupoteza. Next tyme twende escape II
:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom