life255
JF-Expert Member
- Aug 24, 2026
- 288
- 793
IJUMAA KAREEM WAKUU 🤲🏾
Leo tusikumbuke tu kusema Ijumaa njema, bali tukumbuke pia kusamehe, kusaidiana na kumuomba Mwenyezi Mungu atufungulie milango iliyofungwa.
Kila mmoja ana vita yake ambayo haionekani kwa macho.
Mwenyezi Mungu awape wepesi wenye uzito moyoni, riziki yenye baraka na majibu ya dua zenu.
Jumaa Mubarak kwa wanaJF wote. 🤲🏾🕌