Msalimie Salvador
Asante kwa like yako Cantalisia. Nimetambua uwepo wako. Je upo bongo tayari au bado. Mia
figganigga Asante kwa kunipenda nakupenda pia.vivian nakupenda sana. Ijumaa njema pia. Mia
Missing you figganigga mzee wa mia!
vivian nakupenda sana. Ijumaa njema pia. Mia
Nambie wangu. Asavali umekuja. Kuna watu humu wananizingua sana. Wa kwanza ni Heaven on earth wapili ni Lady doctor. Hawataki niwadekee kabisa. Sasa umekuja, watanikomaje!?. mia
Nambie wangu. Asavali umekuja. Kuna watu humu wananizingua sana. Wa kwanza ni Heaven on earth wapili ni Lady doctor. Hawataki niwadekee kabisa. Sasa umekuja, watanikomaje!?. mia
Cantalisia Cantalisia...............Hhahahahah! usijali Mzee wa Mia ww deka tu ila masharti na vigezo kuzingatiwa as unajua heshima muhimu kwa baba watoto wangu Rejao.
Swaiba angalia location yangu mpya! nimehamia Arusha siku hizi.
vivian taratibu kwa mahabuba wangu,kidole na macho aiseefigganigga Asante kwa kunipenda nakupenda pia.
figganigga Asante kwa kunipenda nakupenda pia.